Jumapili yako imekaaje na unaimalizia vipi?

Mate yananitoka kama fisi aliyeona mfupa wenye minofu. Nimepigika, nirushie niidake.
 
Yangu imeisha hivyo hivyo tu nacheck movies nikimaliza narudisha kwenye kinga'muzi namcheck bwana Mkubwa,
 
Usiwe unakubali kuwa mnyonge namna hiyo! Dunia ni watu na watu ndio sisi! Unitedwe stand! Naomba niwe sbb ya furaha yako leo!
weeee๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š utaweza kuwa sababu ya furaha yangu
 
Nimefanya kazi leo kuliko weekdays, kazi ya mikono, natamani kupata masaji moja matata sana, wakunipa sasa[emoji41]
 
Nimefanya kazi leo kuliko weekdays, kazi ya mikono, natamani kupata masaji moja matata sana, wakunipa sasa[emoji41]

I wish i knew this kabla sijapotea kwa hewa nikuje kukupatia masaji moja ya kibabe sanaaaa๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ