Jumapili yako imekaaje na unaimalizia vipi?

Jumapili yako imekaaje na unaimalizia vipi?

Kizuri Kula na Nduguyo!
20200711_060710.jpg
 
Yangu imeisha hivyo hivyo tu nacheck movies nikimaliza narudisha kwenye kinga'muzi namcheck bwana Mkubwa,
 
Usiwe unakubali kuwa mnyonge namna hiyo! Dunia ni watu na watu ndio sisi! Unitedwe stand! Naomba niwe sbb ya furaha yako leo!
weeee😊😊 utaweza kuwa sababu ya furaha yangu
 
Nimefanya kazi leo kuliko weekdays, kazi ya mikono, natamani kupata masaji moja matata sana, wakunipa sasa[emoji41]
 
Nimefanya kazi leo kuliko weekdays, kazi ya mikono, natamani kupata masaji moja matata sana, wakunipa sasa[emoji41]

I wish i knew this kabla sijapotea kwa hewa nikuje kukupatia masaji moja ya kibabe sanaaaa😅😅😅
 
Back
Top Bottom