Jumapili yako imekaaje na unaimalizia vipi?

Jumapili yako imekaaje na unaimalizia vipi?

Mate yananitoka kama fisi aliyeona mfupa wenye minofu. Nimepigika, nirushie niidake.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Endelea kupambana na mate yako tu mkuu
 
Naimalizia jpili ,sijui wenzangu
IMG_20200718_195431.jpg
 
I wish i knew this kabla sijapotea kwa hewa nikuje kukupatia masaji moja ya kibabe sanaaaa[emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23]sina bahati kabisa, mtoto mbichi mikono laini angenifanyia masaji dah!!
 
[emoji23][emoji23]sina bahati kabisa, mtoto mbichi mikono laini angenifanyia masaji dah!!
😅😅😅😅bahati unayo lakin ni mbaya🤪🤪yani ungekula massage makini sana jumatatu yako ingezidi kung’ara mkuu😅😅
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]bahati unayo lakin ni mbaya[emoji2957][emoji2957]yani ungekula massage makini sana jumatatu yako ingezidi kung’ara mkuu[emoji28][emoji28]
..mbaya sio bahati mkuu. Tufanye next weekend basi[emoji39]
 
Back
Top Bottom