Jumapili yako.. Tuandikie neno moja la Biblia likupendezalo

Lugano Edom

Senior Member
Joined
Dec 2, 2021
Posts
122
Reaction score
186
Maana Mungu hakutuitia uchafu, bali tuwe katika utakaso.Basi yeye anayekataa, hakatai mwanadamu bali Mungu, anayewapa ninyi Roho wake Mtakatifu.Katika habari ya upendano, hamna haja niwaandikie; maana ninyi wenyewe mmefundishwa na Mungu kupendana.
1 Wathesalonike 4:7-9
 
Wakolosai 3:5-6. Basi ueni chochote kilicho ndani yenu ambacho Ni cha kidunia; uasherati, uchafu, shauku, tamaa mbaya na uchu (ambazo Ni Sawa na kuabudu sanamu). Kwa sababu ya Mambo hayo hasira ya Mungu huwajia wote wanaomwasi.
 
Torati 8;11_20
Torati 8:11-20 utakapokula na kushiba na kujenga nyumba nzuri mali na fedha zako zikiongezeka usimsahau BWANA maana yeye ndiye akupaye nguvu za kupata utajiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…