Jumatano ya Majivu: Wakatoliki kupakwa majivu bila kuguswa ili kuepuka Corona

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
143,138
Reaction score
288,731
FB_IMG_1613301761963.jpg

Huu ndio mwongozo mpya uliotolewa na Papa Francis huko Vatican kwenda kwa Wakatoliki wote duniani, Hatua hii imechukuliwa ili kuepusha maambukizi ya virusi vya Corona , ikumbukwe kwamba Jumatano aijayo 17/2/2021 ndio JUMATANO YA MAJIVU ambao ndio mwanzo wa Kwaresma

Taarifa inaonyesha kwamba wapakwa majivu watanyunyiziwa majivu juu ya mapaji yao ya nyuso badala ya kuguswa na mikono ya maparoko.

Tuendelee kuchukua tahadhari.
 
Maji ya baraka vipi yanaendelewa kuchovywa na kila mtu kufanya ishara ya msalaba? padre mgawa sakrament atakuwa anavaa gloves ? vipi kuhusu kubusu pete ya askofu na papa marufuku?

vipi kuhusu ijumaa kuu kubusu msalaba haiwezi ambukiza corona ? kanisa limeelekeza nini?
 
vipi kuhusu kwenda kuungama kwa padri kumepigwa marufuku ? sababu umbali wa muungamishaji na anayeungama ni kama zero distance hawawezi pumuliana wadudu wa Corona? kanisa limeagizaje? watu waungame kupitia watsap au online?
 
Ni jambo jema!

Hata ubatizo wa watoto wachungaji wa KKKT wanatumia jagi kummwagia maji mtoto kichwani badala ya mikono.

Leo askofu mkuu Dr Shoo ameendesha ibada mjini Tabora akiwa amevalia barakoa lakini 95% ya waumini akiwemo RC na DC hawakuvaa barakoa.
 
Maji ya baraka vipi yanaendelewa kuchovywa na kila mtu kufanya ishara ya msalaba? padre mgawa sakrament atakuwa anavaa gloves ? vipi kuhusu kubusu pete ya askofu na papa marufuku?

vipi kuhusu ijumaa kuu kubusu msalaba haiwezi ambukiza corona ? kanisa limeelekeza nini?
Bila shaka utapewa maelekezo , vuta subra
 
vipi kuhusu kwenda kuungama kwa padri kumepigwa marufuku ? sababu umbali wa muungamishaji na anayeungama ni kama zero distance hawawezi pumuliana wadudu wa Corona? kanisa limeagizaje? watu waungame kupitia watsap au online?
itawezekana tu
 
maji ya baraka vipi yanaendelewa kuchovywa na kila mtu kufanya ishara ya msalaba? padre mgawa sakrament atakuwa anavaa gloves ? vipi kuhusu kubusu pete ya askofu na papa marufuku?

vipi kuhusu ijumaa kuu kubusu msalaba haiwezi ambukiza corona ? kanisa limeelekeza nini?
hivyo vyote vinafuatwa vyema kabisa
 
Lipi? Kiongozi
Maendeleo Hayana Chama
Ni jambo jema!

Hata ubatizo wa watoto wachungaji wa KKKT wanatumia jagi kummwagia maji mtoto kichwani badala ya mikono.

Leo askofu mkuu Dr Shoo ameendesha ibada mjini Tabora akiwa amevalia barakoa lakini 95 ya waumini akiwemo RC na DC hawakuvaa barakoa.
Wameogopa kutumbuliwa RC na DC Kama wangevaa barakoa ,maana Tanzania hatuna Corona.
 
maji ya baraka vipi yanaendelewa kuchovywa na kila mtu kufanya ishara ya msalaba? padre mgawa sakrament atakuwa anavaa gloves ? vipi kuhusu kubusu pete ya askofu na papa marufuku?...
Mengi ya uliyoyauliza hapa majibu yake angalia kwenye kumbukumbu zako,yalielekezwa wakati wa Covid-19 Vol 1 hapo chini kuna pumba nadhani hayupo wa kuzijibu waza mwenyewe jibu lake kwa akili zako ukiona unakosa jibu jua umeuliza ujinga.
 
Leo askofu mkuu Dr Shoo ameendesha ibada mjini Tabora akiwa amevalia barakoa lakini 95 ya waumini akiwemo RC na DC hawakuvaa barakoa.
kwenye issue ya Corona waumini wa kawaida wana imani kubwa kwa Mungu kuwalinda kuliko viongozi wa dini hasa maaskofu wa Kikristo Papa akiwemo
 
vipi kuhusu kwenda kuungama kwa padri kumepigwa marufuku ? sababu umbali wa muungamishaji na anayeungama ni kama zero distance hawawezi pumuliana wadudu wa Corona? kanisa limeagizaje? watu waungame kupitia watsap au online?
Wewe ni hopless sana, una kisirani cha kijinga kwasababu wakatoliki walikuwa wa kwanza kuwataka waumini wao wachukue tahadhari kujikinga na Corona, ulitaka wadanganywe waendelee kufa na kuugua Nimonia?

Wacha upumbavu, hao waumini wakienda kuungama watavaa barakoa.
 
waislamu hawajatoa tamko mbona wako fresh tu
 
Hiyo haisaidii,wawapake tu,kikubwa wavae barakoa na ikibidi wakeep distance,,wawapate kwa brush yenye mshikio mrefu
 
Back
Top Bottom