Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Serikali ya Tanzania ilishasema hela zake hazibebi virusi vya coronaMimi huwa nawaza yale matoleo hasa sadaka,zile pesa tunazishika na wao pia. Kwa kifupi huu ugonjwa umetushika pabaya
COVID 19Hakuna Hapa TanzaniaSerikali ya Tanzania ilishasema hela zake hazibebi virusi vya corona
Lipi? KiongoziNi jambo jema!
Bila shaka utapewa maelekezo , vuta subraMaji ya baraka vipi yanaendelewa kuchovywa na kila mtu kufanya ishara ya msalaba? padre mgawa sakrament atakuwa anavaa gloves ? vipi kuhusu kubusu pete ya askofu na papa marufuku?
vipi kuhusu ijumaa kuu kubusu msalaba haiwezi ambukiza corona ? kanisa limeelekeza nini?
itawezekana tuvipi kuhusu kwenda kuungama kwa padri kumepigwa marufuku ? sababu umbali wa muungamishaji na anayeungama ni kama zero distance hawawezi pumuliana wadudu wa Corona? kanisa limeagizaje? watu waungame kupitia watsap au online?
Kuchota majivu kwa kijiko na kukurushia kichwani!Lipi? Kiongozi
Maendeleo Hayana Chama
hivyo vyote vinafuatwa vyema kabisamaji ya baraka vipi yanaendelewa kuchovywa na kila mtu kufanya ishara ya msalaba? padre mgawa sakrament atakuwa anavaa gloves ? vipi kuhusu kubusu pete ya askofu na papa marufuku?
vipi kuhusu ijumaa kuu kubusu msalaba haiwezi ambukiza corona ? kanisa limeelekeza nini?
Lipi? Kiongozi
Maendeleo Hayana Chama
Wameogopa kutumbuliwa RC na DC Kama wangevaa barakoa ,maana Tanzania hatuna Corona.Ni jambo jema!
Hata ubatizo wa watoto wachungaji wa KKKT wanatumia jagi kummwagia maji mtoto kichwani badala ya mikono.
Leo askofu mkuu Dr Shoo ameendesha ibada mjini Tabora akiwa amevalia barakoa lakini 95 ya waumini akiwemo RC na DC hawakuvaa barakoa.
Mengi ya uliyoyauliza hapa majibu yake angalia kwenye kumbukumbu zako,yalielekezwa wakati wa Covid-19 Vol 1 hapo chini kuna pumba nadhani hayupo wa kuzijibu waza mwenyewe jibu lake kwa akili zako ukiona unakosa jibu jua umeuliza ujinga.maji ya baraka vipi yanaendelewa kuchovywa na kila mtu kufanya ishara ya msalaba? padre mgawa sakrament atakuwa anavaa gloves ? vipi kuhusu kubusu pete ya askofu na papa marufuku?...
kwenye issue ya Corona waumini wa kawaida wana imani kubwa kwa Mungu kuwalinda kuliko viongozi wa dini hasa maaskofu wa Kikristo Papa akiwemoLeo askofu mkuu Dr Shoo ameendesha ibada mjini Tabora akiwa amevalia barakoa lakini 95 ya waumini akiwemo RC na DC hawakuvaa barakoa.
Wewe ni hopless sana, una kisirani cha kijinga kwasababu wakatoliki walikuwa wa kwanza kuwataka waumini wao wachukue tahadhari kujikinga na Corona, ulitaka wadanganywe waendelee kufa na kuugua Nimonia?vipi kuhusu kwenda kuungama kwa padri kumepigwa marufuku ? sababu umbali wa muungamishaji na anayeungama ni kama zero distance hawawezi pumuliana wadudu wa Corona? kanisa limeagizaje? watu waungame kupitia watsap au online?
waislamu hawajatoa tamko mbona wako fresh tuWewe ni hopless sana, una kisirani cha kijinga kwasababu wakatoliki walikuwa wa kwanza kuwataka waumini wao wachukue tahadhari kujikinga na Corona, ulitaka wadanganywe waendelee kufa na kuugua Nimonia?
Wacha upumbavu, hao waumini wakienda kuungama watavaa barakoa.
Dhana ya mungu ni pana sana,,mungu ana kazi nyingi,hawezi kuwakwa hiyo mnajikinga kanisani sababu mnamtuhumu Mungu kuwa aweza kuwa kidudu cha corona kuwaambukiza?...