Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,195
- 13,785
πππππππ ππππππππ[emoji617]π«‘
Dakika ya 12 ya mchezo wetu wa Jumatano dhidi ya Namungo FC, tutasimama kwa Dakika 1 kuwashukuru Wanachama, Mashabiki na Wapenzi wa Klabu yetu waliosafiri kwenda Kigali, Rwanda na kutengeneza historia hii kubwa ya kuwa na Mashabiki wengi kwenye mchezo wa Ugenini.
Kutakuwa na πππππππ πππππ Mwananchi usikose!
#TimuYaWananchi
#DaimaMbeleNyumaMwiko