Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,195
- 13,785
hii imeendaπππππππ ππππππππ[emoji617]π«‘
Dakika ya 12 ya mchezo wetu wa Jumatano dhidi ya Namungo FC, tutasimama kwa Dakika 1 kuwashukuru Wanachama, Mashabiki na Wapenzi wa Klabu yetu waliosafiri kwenda Kigali, Rwanda na kutengeneza historia hii kubwa ya kuwa na Mashabiki wengi kwenye mchezo wa Ugenini.
Kutakuwa na πππππππ πππππ Mwananchi usikose!
#TimuYaWananchi
#DaimaMbeleNyumaMwikoView attachment 2753766
Kama inauma chomoaMihemko fc
Kama ulivyochomoa wewe baada ya kuchomekwa siyo?Kama inauma chomoa
Kama mlivyokuwa mnachomoa kule kwa power dynamo aka power mabula maan walikua wanawachomeka mnachomoaKama ulivyochomoa wewe baada ya kuchomekwa siyo?
MBUMBUMBUKwahiyo refa atasimamisha au mnasimamisha nyie??
πππππππ ππππππππ[emoji617]π«‘
Dakika ya 12 ya mchezo wetu wa Jumatano dhidi ya Namungo FC, tutasimama kwa Dakika 1 kuwashukuru Wanachama, Mashabiki na Wapenzi wa Klabu yetu waliosafiri kwenda Kigali, Rwanda na kutengeneza historia hii kubwa ya kuwa na Mashabiki wengi kwenye mchezo wa Ugenini.
Kutakuwa na πππππππ πππππ Mwananchi usikose!
#TimuYaWananchi
#DaimaMbeleNyumaMwiko
View attachment 2753766
Haya ndo mambo mazuri ya kuweka hamasa.πππππππ ππππππππ[emoji617]π«‘

Hehe tupeni maua yetu mapemaACHA yanga watambe Bwana.
1. RAIS Mzuri.
2. RAIS MSOMI.
3. VIONGOZI wazuri.
4. Coach Mzuri.
5. Wachezaji wazuri.
Zoazoa, max, Azizi Ki, Aucho nk
TAMBENI WANANCHI.
UPANDE WA PILI NI MISUMARI USHIRIKINA ULOZI NK.
Wewe jamaa embu soma vizuriKuna mtu Kafa?