Msimame tu lakini refa hatasimamisha mchezo, na hii haitakuwa na maana yoyote... Dakika ya 12 ya mchezo wetu wa Jumatano dhidi ya Namungo FC, tutasimama kwa Dakika 1 kuwashukuru Wanachama, Mashabiki na Wapenzi wa Klabu yetu waliosafiri kwenda Kigali, Rwanda na kutengeneza historia hii kubwa ya kuwa na Mashabiki wengi kwenye mchezo wa Ugenini.
ni kwa ajili ya kuwakumbuka mashabiki waliokwama Rwanda kwa kuishiwa fedhaKuna mtu Kafa?
Kuwa na akili mzee aliyekwambia mpira utasimama ni nani ??Msimame tu lakini refa hatasimamisha mchezo, na hii haitakuwa na maana yoyote
Sasa kama mechi haitasimama, ina maana yoyote? Maana hata bila ya kuwakumbuka waliokwama Rwanda, bado watu huwa wanasimama kwenye viti vyao kwa midadiKuwa na akili mzee aliyekwambia mpira utasimama ni nani ??
Wewe shabiki wa mbumbumbu fc huwezi jua maana zaidi ya wananchi wenyewe.Sasa kama mechi haitasimama, ina maana yoyote? Maana hata bila ya kuwakumbuka waliokwama Rwanda, bado watu huwa wanasimama kwenye viti vyao kwa midadi
Kipindi cha unbeaten ilikuwaje,yaan mpira unaendeleea mashabiki wanasimama wanapiga makofiSasa kama mechi haitasimama, ina maana yoyote? Maana hata bila ya kuwakumbuka waliokwama Rwanda, bado watu huwa wanasimama kwenye viti vyao kwa midadi