Lihakanga
JF-Expert Member
- Dec 17, 2016
- 4,823
- 6,416
USA hakosekani hapo.Mfadhili wa hayo maandamano ni nani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
USA hakosekani hapo.Mfadhili wa hayo maandamano ni nani?
South Africa sio kama Bongo Mzee, watu Wameandamana kama kawaida, nchi nzima....!Ramaphosa wakiikamata popote hii ntu wapige mawe kabisa [emoji16]
MadamBi mkubwa wako anatosha kabisa kuniambia kitu mwanangu wa kufikia
Toto langu la kamboMadam
kwann hafadhir Tz ? hao raia wanajielewa achen kufucha uzezeta wenuMfadhili wa hayo maandamano ni nani?
Naomba hii ligi iendelee tujue nani mshindiToto langu la kambo
Tanzania gani? Hii iliomualika Kamala Harris na Tony Blair ikulu. 🤣🤣🤣???Soon TANZANIA Inshaalah
Mi natamani Vurugu zitokee tu ili nchi iwe reformed. Huu utawala wa kifalme na kulindana ufe kabisa ili nchi iwe na demokrasia ya kweli na uwajibikaji.Allah aepushie mbali hilo. Tunamuomba Allah atupe Amani katika nchi yetu. Na atuepushe na machafuko na vurugu za aina yoyote.
Madam itikia nikuambie kituToto langu la kambo
Kwa walamba asali gharama hazijapanda. Ila ule wimbo wa "anaupiga mwingi" naona haupigwi sana siku hizi. Sijui CD imepata scratches!Mbona Tanzania nako gharama za maisha zimepanda?
Bi mkubwa wako akijua kama unaleta dharau humu jf wakati me ndo dingi yako wa kambo atakuachia radhi ujue😃😃Madam itikia nikuambie kitu
Umemchuna sana mzee wangu wewe ni mwanamke mbaya sana hauna maana kabisa weweBi mkubwa wako akijua kama unaleta dharau humu jf wakati me ndo dingi yako wa kambo atakuachia radhi ujue😃😃
Hata wewe ukitaka nakutembezea bohloo mana unaonekana una element za ushogaUmemchuna sana