JUMATATU: Siku ya stress zaidi

Mkogoti

TAPELI Mkubwa
Joined
May 3, 2020
Posts
2,415
Reaction score
3,924
Wataalamu wa mambo Wanasema Jumatatu ni siku ambayo Watu wengi huwa na Msongo wa Mawazo (Stress) Ukilinganisha na siku nyingine za wiki, Wengi waliohojiwa wanasema chanzo ni ugumu wa kubadirisha hisia za Weekend zenye Uchovu, hangover nk. Na kuzipeleka katika Mpambano wa Uchakarikaji.

Tusaidie kutupa ile mbinu unayotumia kupambana na stress za Jumatatu ili Usiharibu kazi za Watu au Mipango yako binafsi!!

Niwatakie Jioni Njema 🤦🤪🏃
 
Tusaidie kutupa ile mbinu unayotumia kupambana na stress za Jumatatu ili Usiharibu kazi za Watu au Mipango yako binafsi!!

Kuna watu wanaenjoy kazi wanazozifanya hadi wanajiover time....wale workaholic

Hizi jumamosi na jumapili zinakuwa kama mateso kwao
 
Tusaidie kutupa ile mbinu unayotumia kupambana na stress za Jumatatu ili Usiharibu kazi za Watu au Mipango yako binafsi!!

Kufanya kitu ambacho hukipendi ndio chanzo kikubwa cha stress kwenye maisha ya kazi

Ila kama unafanya kitu ambacho unakipenda na unauwezo nacho yaani ""kusudi """si dhani kama unaweza ukawa na stress inakuwa nj kama Samaki baharini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…