Mkogoti
TAPELI Mkubwa
- May 3, 2020
- 2,415
- 3,924
Wataalamu wa mambo Wanasema Jumatatu ni siku ambayo Watu wengi huwa na Msongo wa Mawazo (Stress) Ukilinganisha na siku nyingine za wiki, Wengi waliohojiwa wanasema chanzo ni ugumu wa kubadirisha hisia za Weekend zenye Uchovu, hangover nk. Na kuzipeleka katika Mpambano wa Uchakarikaji.
Tusaidie kutupa ile mbinu unayotumia kupambana na stress za Jumatatu ili Usiharibu kazi za Watu au Mipango yako binafsi!!
Niwatakie Jioni Njema 🤦🤪🏃
Tusaidie kutupa ile mbinu unayotumia kupambana na stress za Jumatatu ili Usiharibu kazi za Watu au Mipango yako binafsi!!
Niwatakie Jioni Njema 🤦🤪🏃