SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,814
Tuendako jumba bovu ataangushiwa Wambura na Chal Sabufa. Kuokoa watu wasiende ICC
Wambura hana msuli wa ku order shooting nchi nzima.Tuendako jumba bovu ataangushiwa Wambura na Chal Sabufa. Kuokoa watu wasiende ICC
Muda si mrefu Kuna KIONGOZI mkuu wa usalama atasimamishwa ila itakua mchoro TU kuzima hiii inshuWambura hana msuli wa ku order shooting nchi nzima.
Pia wale watu wasio polisi Wambura hana respinsibility kwao.
Kwa hiyo hili suala, kama kuwajibika, watawajibika zaidi watu wa juu.
Wale mamluki walikubaliwa huko kwa wamburaWambura hana msuli wa ku order shooting nchi nzima.
Pia wale watu wasio polisi Wambura hana respinsibility kwao.
Kwa hiyo hili suala, kama kuwajibika, watawajibika zaidi watu wa juu.
Wambura alitoa wapi mamlaka ya amri ya kutotoka nje baada ya saa 12 jioni (curfew)?Wambura hana msuli wa ku order shooting nchi nzima.
Pia wale watu wasio polisi Wambura hana respinsibility kwao.
Kwa hiyo hili suala, kama kuwajibika, watawajibika zaidi watu wa juu.
Wambura hawezi kupitisha jambo kubwa hivi bila amri kutoka juu.Wale mamluki walikubaliwa huko kwa wambura
Mpaka sasa hujajua tu kwamba amri haikutoka kwa Wambura, Wambura ni kipaza sauti cha kuifanya amri isikike tu?Wambura alitoa wapi mamlaka ya amri ya kutoroka nje baada ya saa 12 jioni (curfew)?
Sijui sheria. Kwa akili ya mtaani nilidhani CDF au Raisi Wana mamlaka hayo.