House4Sale Jumba la kifahari ekari mbili ndani ya fence Kibamba kwa Tzs. 180m tanguliza 50m uingie

Mwambie mmiliki aachane na Madalali aende bank kwa watu wa mikopo wampe namba za matajiri wanunue hio nyumba chap Kwa haraka. Kuna matajiri wakipigiwa na bank kuna nyumba inauzwa siku tatu haziishii na huyo jamaa wa bank anapewa na zawadi juu. Nishashuhudia mara nne mjini shule ndugu.
 
Ashindwe mwenyewe kufuata ushauri
 
Usisahau kuwa unayempa ushauri aupeleke kwa mwenye nyumba na yeye ni dalali.
 
Sawa
 
Kunywa soda! Rafiki yangu aliuza mjengo wake goba kwa style hii, chap kwa haraka na kwa bei nzuri sana.
 
ya KISASA MNO!!! madalali moto wenu utakuwa mkali sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…