- Thread starter
- #41
[emoji2]ya KISASA MNO!!! madalali moto wenu utakuwa mkali sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji2]ya KISASA MNO!!! madalali moto wenu utakuwa mkali sana
Ikifika 120 niambie mkuu. Nami nijipige pige chapChukua Million 100,,,,niachie hiyo million 80 nifanye ukarabati wa hiyo nyumba na mambo mengine
Thanks Chief [emoji1666]Ok nyumba kali sana imekaa kizungu sana....
Matajiri watakupigia ila maskini tutakoment tu
........
.good lck
Milioni 60 kwenye mfuko wa shati[emoji17], imekaaje?Kuna 60 mil kwenye mfuko wa shati
SawaMkuu
Nitakupigia 2025 Baada ya matetemeko KUTOKEA pwani na kanda ya ziwa!
Siwezi minus KWA bei yote hiyo wakati kuna sintofahamu ya matetemeko kutokea sehem Mbali Mbali!
Lilijendwa with frustration ili liitwe hekaruBado nalitafuta jumba la kifahari kwenye hizo picha
niuzie sofa izo,tajiri atakayenunua hapo atakuja na sofa zakeOFFER OFFER OFFER [emoji95][emoji95][emoji95][emoji91][emoji91][emoji91]
*IMESHUKA BEI JUMBA LA KIFAHARI KIBAMBA KWA TZS. 180m, UNAWEZA KUTUTANGULIZIA 50m UKAINGIA, HALAFU INAYOBAKI UTATUAMBIA UTAILIPAJE *
[emoji117]**Unajua hii nyumba iko Kibamba (Hondogo) ndani ya fence ya Ekari 2 na ina HATI.
3 Kms kutoka Morogoro rd**
.
[emoji117]nyumba ya kisasa mno. Vyumba vitatu, viwili master + Jacuzzi + Heater + AC, Dining, Kitchen, Store,Parking space, frame 2 za biashara. Etc
.
[emoji117]Ekari 1 na robo tatu haijatumika.
.
Unajua barabara inayoingia huko imeshaanza kupigwa lami
.
[emoji117] Bei: TZS. 180m
.
Unajua tuko tayari kulipana kwa installment
.
[emoji117]0717 650800
.
[emoji117]HAINA MGOGORO WOWOTE NA SIO MALI YA KURITHI, MMILIKI YUKO NA INASOMA JINA LAKEView attachment 2550591View attachment 2550596View attachment 2550597View attachment 2550598View attachment 2550599View attachment 2550600View attachment 2550604View attachment 2550606View attachment 2550613View attachment 2550614View attachment 2550615
Andika vizuri basi chief, unaharakisha wapi?Lilijendwa with frustration ili liitwe hekaru
SawaNgome Kongwe