House4Sale Jumba la kifahari ekari mbili ndani ya fence Kibamba kwa Tzs. 180m tanguliza 50m uingie

Chukua Million 100,,,,niachie hiyo million 80 nifanye ukarabati wa hiyo nyumba na mambo mengine
 
Mkuu

Nitakupigia 2025 Baada ya matetemeko KUTOKEA pwani na kanda ya ziwa!

Siwezi minus KWA bei yote hiyo wakati kuna sintofahamu ya matetemeko kutokea sehem Mbali Mbali!
 
niuzie sofa izo,tajiri atakayenunua hapo atakuja na sofa zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…