Jumba la Michael Jackson la Neverland Ranch lauzwa kwa bilionea kwa $22m

Jumba la Michael Jackson la Neverland Ranch lauzwa kwa bilionea kwa $22m

Limeuzwa kwa fedha ndogo sana, usd 19mil to usd 22mil differ is usd 3mil.
Ni gharama kubwa sana kuhudumia jumba kubwa kama hilo Marekani.....
am sure kuna back deals hapo kwa ajili ya kukwepa kodi....
 
Wandai aliyenunua alikuwa mtu wake wa karibu(rafiki) wa marehemu.
 
Nampenda Sana Michael ..

Lakini Skendo za kuwatafuna watoto zilimchafua Sana ..sijui alikuwa anawala kweli Daahh!!!
Apana alitaka kujitoa kundi pendwa 666,ndo wakampa scandal.Refer R.kelly now naye anataka kuwakimbia, lazima wakuvuruge hasa.
 
Kuna habri zao ambazo wanazitoa kabisa na zinakua kinyume nyume. Na wana waandishi waswahili kabisa tena wametoka kwenye vyombo vinavyotangaza kiswahili
Tatizo kubwa ni kwamba waliajiri waandishi wa habari kutoka Kenya kwa idhaa ya kiswahili. Utaona hata hbari zao wanazotoa zinasawiri maudhui ya kiswahili cha Kenya zaidi. Enzi wapo kina Tido na Charles Hillary usingeweza kuona utumbo huo.
 
Jumba la Mfalme wa muziki wa Pop Michael Jackson ambalo alilinunua mwaka 1987 kwa USD milioni 19.5 limenunuliwa na Tajiri Ron Burkle kwa kiwango kinachotajwa kufika USD milioni 22 (USD milioni moja ni sawa na Tsh. Bilioni 2.3 )

Jumba hilo ambalo lipo Los Olivos, California likijulikana kwa jina maarufu la ‘Neverland’ likiwa ndani ya hekari 2700 na humo ndani lina zoo ya Wanyama mbalimbali kama Tembo na Twiga.

Ron Burkle ni miongoni mwa Wamiliki wa Team ya mchezo wa Magongo unaochezwa kwenye barafu ya Pittsburgh Penguins, Michael Jackson alifariki mwaka 2009 kwenye jumba jingine alilokua anaishi Los Angeles Marekani.
 
Afu mabeberu sio watu wazuri,mbona hawajatutaarifu wengine?.Ningelinunua hilo jumba aisee ."am dreaming [emoji42][emoji42][emoji42]
 
Back
Top Bottom