Jumba la Ushirika 1964

Jumba la Ushirika 1964

Acha uongo. Maelezo yote uliyosema si sahihi.
Crdb ilianzishwa baadaye. Baada ya jengo hilo kujengwa. Hakukuwa na uhusiano wa moja kwa moja kati ya Coperative and Rural Development Bank (cedb baadaye) na Ushirika waliokuwa wamiliki wa jengo.
Chuo Kikuu kilianzishwa kwenye jengo la TANU lililopo pembeni ya jengo la Ushirika.
Vipi Mkuu Congo. Mbona unakuja na ghadhabu?
Nilichelewa kuona uzi wako. Kabla yako, kulikuwa na wawili waliotofautiana na mimi kwenye suala hilo hilo. Mmoja ni Mohamed Said (ona uzi Na. 25); na mwingine ni Bulesi (ona Uzi Na. 48). Lugha zao ni tofauti kabisa na yako, japo wote mnatofautiana nami. Zao ni lugha za staha zikitaja mahali ambapo wanadhani nimekosea. Nami niliwajibu kwa kukiri kwamba wako sahihi (ona Nyuzi namba 26 na 63). Hivyo ndivyo inavyotakiwa. Wewe unakuja na ghadhabu "Acha uongo...". Niwaongopee wana- JF ili iweje?
 
Kolola,
Yawezekana kuwa ilikuwa haijaundwa.
Vipi kuhusu hizo taarifa nyingine?

Sheikh Mohamed,

Naomba nami nikusaidie kidogo katika hili

Wakati huo hata kama TCU ilikuwepo lakini hapakua na utaratibu wa Central Admission unaofanywa sasa hivi na TCU ambapo unaweza ukachagua course fulani chuo fulani ukajikuta umepelekwa pengine

Wanafunzi walikua wakifanya applications zao moja kwa moja vyuoni, na vyuo ndio vikifanya admission kulingana na requirements na criteria zao

Na kwa taarifa tu ni kwamba tukio hilo la UDOM liliogunduliwa na VC wao ni miongoni mwa sababu zilizotumika kujenda hoja ili Chuo Kikuu Cha Waislam Morogoro (MUM) kikubaliwe kutoingizwa katika mfumo wa udahili wa TCU!

MUM ndio chuo pekee cha elimu ya juu kinachoruhusiwa kufanya udahili wake bila kupitia TCU(I stand to be corrected)

Baada ya kadhia ile ya Admission ya UDOM, ambayo hakika haikusikika kwa jinsi ilivyokua “systematically down played” na ulipoanzishwa mfumo wa central admission ikapelekwa hoja TCU na Serikalini kuomba MUM iwe exempeted na utaratibu huo

Hoja ikawa kwamba; Kwenye vyuo vya Umma (Serikali) uwiano wa wanaodahiliwa kati ya Waislamu na Wakristo ni 20:80

Vyuo Vya Elimu ya Juu vya Binafsi na Vya Mashirika ya Dini zaidi ya asilimia 90 vinamilikiwa na Taasisi za Kikristo, ambapo uwiano wa udahili wa wanafunzi kati ya Waislamu na Wakristo ni 15:85

Sasa kwa kuruhusu MUM nayo iingie kwenye udahili wa wanafunzi kupitia TCU kunaweza kuendeleza sura hiyo ya kuwanyima nafasi wanafunzi wa kiislamu kama huko kwengine. Ikahofiwa kupangwa wanafunzi kwa uwiano uleule unaokalamikiwa siku zote

Pia malengo ya IDF(Islamic Development Foundtion) ya kuanzisha MUM ili kuondoa upogo(kutokua na usawa) uliopo wa vijana wa Kiislamu kupata fursa sawa za elimu ya juu yasingetimia kama hili likiruhusiwa

TCU inatoa vigezo tu vya requirements za admission kwenye courses za certificate, diploma, undergraduate degrees, Masters etc.

Hakika hapakua na hoja kinzani maana takwimu zote zipo hadharani tena takwimu rasmi kabisaa!! Likapitishwa kwa haraka sana katika ile Waswahili wanasama “Funika kombe…….”

Surprisingly, Muslim University of Morogoro (MUM) kinapata applications za wanafunzi wengi sana wenye sifa za kusoma Higher Learning Institution yoyote duniani ambao hawaonekani katika vyuo vingine hasa vya Umma!!!!!!?

Jambo hili la kunyima watu fursa kwa hila katika nchi yao ingekua ni kinyume chake kwamba hao wanaosemwa kudhulumu haki na fursa za wengine ndio wanaofanyiwa mbona pangewaka moto!
 
Kolola,
Umenifahamisha kuhusu TCU na mimi nimekujibu kiungwana.

Siku zote binadamu tutafanya makosa ya hiki na kile na unapoelezwa ukweli unaukubali ule kweli.

Umeleta taarifa nzuri na huyo aliyetoa taarifa hizi yuko hapa ataona jibu lako.
Bahati mbaya umehitimisha kwa matusi.

Saigon Club haihusiani hata kwa mbali na haya tunayojadili hapa.
Ama kupuuza ni kitu kingine.

Ndipo nilipokuuliza vipi kuhusu hizo taarifa nyingine?

Kaka Mohamed,

Nimetoa ufafanuzi wa hilo

Bahati nzuri nimeyaishi haya yote na baadhi ya procedures zake

1. Suala la Board ya Parole ya Sumaye iliyokuja kuvunjwa na Mkapa ilikua ni public news na watu wote walishuhudia na kusikia maana kwanza hata vyombo vya habari vya uma kwa maana ya serikali vilitoa kipaumbele kwa habari husika

2. Kuhusu dhulma ya UDOM nimeipata from horse mouth muhusika mwenyewe ambaye kwa bahati (yaweza kua nzuri au mbaya kutokana na mtazamo wako) yeye mwenyewe hakuwahi kuamini wala kukubali kwamba kuna dhulma ya ubaguzi wa kidini katika utoaji elimu nchini

Tena hata baada ya kugundua njama zile bado aliendelea kuamini kua zilikua ni njama za watu wachache tu kwa maslahi yao binafsi na wala sio mfumo maalum unaofanya kazi tangia tupate Uhuru

3. Kadhia ya Walimu Waislamu kuhamishiwa Primary Schools kwa uonevu nimeiishi kabisaaa live na kwasababu zilizo wazi siwezi kusema ni wapi ilitokea.
 
Sheikh Mohamed,

Naomba nami nikusaidie kidogo katika hili

Wakati huo hata kama TCU ilikuwepo lakini hapakua na utaratibu wa Central Admission unaofanywa sasa hivi na TCU ambapo unaweza ukachagua course fulani chuo fulani ukajikuta umepelekwa pengine

Wanafunzi walikua wakifanya applications zao moja kwa moja vyuoni, na vyuo ndio vikifanya admission kulingana na requirements na criteria zao

Na kwa taarifa tu ni kwamba tukio hilo la UDOM liliogunduliwa na VC wao ni miongoni mwa sababu zilizotumika kujenda hoja ili Chuo Kikuu Cha Waislam Morogoro (MUM) kikubaliwe kutoingizwa katika mfumo wa udahili wa TCU!

MUM ndio chuo pekee cha elimu ya juu kinachoruhusiwa kufanya udahili wake bila kupitia TCU(I stand to be corrected)

Baada ya kadhia ile ya Admission ya UDOM, ambayo hakika haikusikika kwa jinsi ilivyokua “systematically down played” na ulipoanzishwa mfumo wa central admission ikapelekwa hoja TCU na Serikalini kuomba MUM iwe exempeted na utaratibu huo

Hoja ikawa kwamba; Kwenye vyuo vya Umma (Serikali) uwiano wa wanaodahiliwa kati ya Waislamu na Wakristo ni 20:80

Vyuo Vya Elimu ya Juu vya Binafsi na Vya Mashirika ya Dini zaidi ya asilimia 90 vinamilikiwa na Taasisi za Kikristo, ambapo uwiano wa udahili wa wanafunzi kati ya Waislamu na Wakristo ni 15:85

Sasa kwa kuruhusu MUM nayo iingie kwenye udahili wa wanafunzi kupitia TCU kunaweza kuendeleza sura hiyo ya kuwanyima nafasi wanafunzi wa kiislamu kama huko kwengine. Ikahofiwa kupangwa wanafunzi kwa uwiano uleule unaokalamikiwa siku zote

Pia malengo ya IDF(Islamic Development Foundtion) ya kuanzisha MUM ili kuondoa upogo(kutokua na usawa) uliopo wa vijana wa Kiislamu kupata fursa sawa za elimu ya juu yasingetimia kama hili likiruhusiwa

TCU inatoa vigezo tu vya requirements za admission kwenye courses za certificate, diploma, undergraduate degrees, Masters etc.

Hakika hapakua na hoja kinzani maana takwimu zote zipo hadharani tena takwimu rasmi kabisaa!! Likapitishwa kwa haraka sana katika ile Waswahili wanasama “Funika kombe…….”

Surprisingly, Muslim University of Morogoro (MUM) kinapata applications za wanafunzi wengi sana wenye sifa za kusoma Higher Learning Institution yoyote duniani ambao hawaonekani katika vyuo vingine hasa vya Umma!!!!!!?

Jambo hili la kunyima watu fursa kwa hila katika nchi yao ingekua ni kinyume chake kwamba hao wanaosemwa kudhulumu haki na fursa za wengine ndio wanaofanyiwa mbona pangewaka moto!
Sesten...
Ahsante sana.
 
Kaka Mohamed,

Nimetoa ufafanuzi wa hilo

Bahati nzuri nimeyaishi haya yote na baadhi ya procedures zake

1. Suala la Board ya Parole ya Sumaye iliyokuja kuvunjwa na Mkapa ilikua ni public news na watu wote walishuhudia na kusikia maana kwanza hata vyombo vya habari vya uma kwa maana ya serikali vilitoa kipaumbele kwa habari husika

2. Kuhusu dhulma ya UDOM nimeipata from horse mouth muhusika mwenyewe ambaye kwa bahati (yaweza kua nzuri au mbaya kutokana na mtazamo wako) yeye mwenyewe hakuwahi kuamini wala kukubali kwamba kuna dhulma ya ubaguzi wa kidini katika utoaji elimu nchini

Tena hata baada ya kugundua njama zile bado aliendelea kuamini kua zilikua ni njama za watu wachache tu kwa maslahi yao binafsi na wala sio mfumo maalum unaofanya kazi tangia tupate Uhuru

3. Kadhia ya Walimu Waislamu kuhamishiwa Primary Schools kwa uonevu nimeiishi kabisaaa live na kwasababu zilizo wazi siwezi kusema ni wapi ilitokea.
Zesten...
Nakushukuru sana ndugu yangu.
 
Back
Top Bottom