- Thread starter
- #21
Mkuu mbona ni jambo la kawaida na ushukuru amelipwa. Jay D kwenye ubora wake aliimba Muhogo wa Jang'ombe wa bi kidude na hakuna aliepiga kelele sikumbuk kama alilipwa yule Bib
Ila kwenye Tasnia ya Music hilo ni jambo la kawaida sana kwa wanamuzik kurudia nyimbo za wanamuzik wa zaman kwa makubaliano maalumu na sio kuishiwa
Inakuwa bora kama msanii anafanya hivo Mara Moja moja, sasa hawa nao ni kila muziki, sasa hapo use me tens tuna wasanii