Jumbe aeleza alivyofuatwa na Wasafi kumuomba wimbo wake "Siri"


Inakuwa bora kama msanii anafanya hivo Mara Moja moja, sasa hawa nao ni kila muziki, sasa hapo use me tens tuna wasanii
 
Zuwena pia,KU crew walirudia msafiri wa king kikii, Mtoto wa dandu alirudia Sina makosa,km sio MTU wa muziki unaweza kushangaa ,mifano ni mingi mno ,cjaona ubaya hapo
 
Unajua kwamba "I will always love you" Whitney Houston alirudia licha ya kumpa umaarufu?Unajua wimbo wa kwanza kumpa umaarufu MJ akiwa na Jackson 5 "who is loving you"alirudia?the list goes on and on,kama umejulia muziki wakati wa bongo flava ficha ushamba wako
 
ujumbe wa jumbe umefikaaa ila kiki lake la kitoto sanaaa ..
 
Na wao ni mwendo wa kurudiarudia nyimbo za wasanii wengine aka kuidokoa dokoa nyimbo za wengine
Karudia wimbo michael Jackson itakua WCB?
Hakuna tatizo kama msanii ameupenda wimbo fulani kuuomba na kuurudia,pia ni njia ya kumuenI mtunzi
Hata lady jaydee amerudia muhogo wa jang'ombe wa bi kidude,tatizo team kiba badala ya kuwaza kumpaisha mtu wenu kwa kazi zake mbovu,mnawaza kazi za wenzenu,mnachelewa
 
Huyo FA hata Kenya hawamjui bongo sijui watu huwa wanatakaje kila kitu ni shida ukimpikia ugali tembele ohhhh pesa hakuna muweekee biriani na wali Kuku ohhh ufujaji majigamboo yani hatuna jema hakuna jema kila kitu malalamishi tu
 
We mshamba nini! Kenya wamjue FA ili iwe nini? Kwani tunaongelea kenya au mziki?Kina mtu alikuwa anajulikana EA km Mr.Nice?Mr.Nice na Marijani Rajabu nani utaweza kusikia nyimbo ikipigwa au ikirudiwa kwa urahisi kwa kizazi cha leo? Mziki unaishi, ndo maana wasafi kutwa kuimba nyimbo za watu kwasababu watu walitunga vizuri, sasa hayo makorokocho yenu ya sasa kuna kizazi kitakuja kuyaimba hapo baadaye?
Harmonise na hasa Rayvan wanapenda kuandika mashairi yanayoeleweka na ndo maa labda kaifanya hyo Siri, lkn Queen,Mavoko na kaka mtu ni kushoot movie na wasanii wa mbele. Sikiliza Njalo aliyoshirikishwa Jide au Jide na Ngoni, hizo kolabo unasema walijipanga lkn hii kukurupukia wasani wambele wkt huna cha kuimba ni ulimbukeni. Naheshimu Diamond aliyofanya Papa Wemba, Neyo hata ule Mari lkn zngine ni moshi wa mabua ukimaliza kuangalia unafuta maana unajaza memory bure. FA hajulikani kenya, sawa AY anajulikana kaimba na kingston, sijui nani ok, swali; utaufanisha uwezo AY na FA kwenye game?
Huyo FA hata Kenya hawamjui bongo sijui watu huwa wanatakaje kila kitu ni shida ukimpikia ugali tembele ohhhh pesa hakuna muweekee biriani na wali Kuku ohhh ufujaji majigamboo yani hatuna jema hakuna jema kila kitu malalamishi tu
 
Je ww usie na starehe una maendeleo gani?
Wivu tu umekujaa wacha wale raha ya jasho lao
 
Co kweli kuwa who's loving u ndo ulimtoa michael, tofautisha kutoa albam ya kwanza na kutoka kimziki, Kipindi hicho j5 walikuwa underground na aliyewafanya wajulikane ni Diana Ross ambaye aliwachukua na kuwa anawashirikisha kwenye matamasha yake mengi(Diana Ross alikuwa mwanamzk mkubwa wkt huo, akiwika na kundi la the suppremes).Pia uwezo mkubwa wa michael ktk kuimba ndo uliwaadmire watu, alikuwa mdogo na walikuwa wanazirudia nyimbo nyingi maarufu lkn kipindi kile cha utotoni usingeweza kuchukulia km alitoka au maarufu kimzk. Sema wewe ulipoanza kumfatilia ndo ukaja kuziona na hizo za nyuma, lkn cdhan km ulimjua Wacko kwa hizo za utotoni. Pia kuhusu I will always love you, kwanza whitney alianza kupata umaarufu mwishoni mwa miaka ya 80, sema kwa huku bongo tulichelewa kuwajua kutokana na technolojia haikua km hv leo. Albam ilyobeba wimbo wa How will I know ndo ilimpa umaarufu whitney US na duniani, hiyo unayoisema alitokanayo kwenye movie ya the bodyguard, ukiacha uwezo mkubwa alionao wa kuimba pia origin ya I will always love you ya Dolly Parton ni maadhi ya country music ambayo haikua na umaarufu huku kwetu km Rythm and Blues,hapo ndipo alipopata cr whitney. Sema kurudia nyimbo ya mtu ni kawaina ila usichanganye na kutoka kwao.
 
Sijakuambia MJ alianza Muziki na huo wimbo,unaweza kuanza muziki ukatoa hata nyimbo 10 usijulikane ila wimbo wa 11 ukakutoa!Goodie ndio aliwatoa J5 na hata siku ya ku celebrate maisha ya MJ alivyoitwa Smokey atoe eulogy yake alisema aliitwa na Goodie ampe surprise ndio akaona vijana 5 wadogo wakaimba who is loving you na MJ aliimba hadi ikabidi aulizoe birth certificate hakuamini umri ule anaweza kuimba vile!swali kwako;Inawezekana vipi Smokey Robinson asiwajue kabla ya hapo kama walikua maarufu?
 
Sasa hilo swali unaniuliza mimi tena?me nmesema kipindi hicho hawakuwa na umaarufu wowote licha ya kuwa wanarudia nyimbo za watu, album ya 1969 Motown rec ilibidi waiite Diana Ross Representing J5, ili kuupa promo I want you back. Ndo maana Robnson alikua hawajui, walikua waimbaji wa stejini tu. Miaka ile pia mtu mweusi kutoka ilikuwa kazi, ndo walikuwa wanapeana support.
 
Smokey aliitwa siku ya celebration na alitambulishwa kama mtu ambaye wimbo wake ulimtambulisha MJ duniani na ilikua siku ya watu ambao walimnyanyua au walinyanyuliwa na MJ kutoa ushuhuda acha ubishi
 
We jamaa inaelekea unajua muziki,uchambuzi wako uko makini sana!Wasanii wa sasa,hawa wanaosemekana kuwa "wakubwa" hasa huyu Diamond,wana mashairi ya kawaida saaaana,no creativity.Melody ni zilezile,ujumbe sio tu haupo,ila content ni ileile tu,yan unasikiliza nyimbo 10 zote ni za namna hiyohiyo!Cha kushangaza eti ndo wanavuma!Ukisiliza nyimbo 50 au zaidi za bob marley,hazifanani kwa namna yoyote ki-melody na ujumbe na zote ni nzuri na ni timeless,yan hazichuji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…