doctor mwanafunzi
Member
- Jun 16, 2024
- 45
- 56
Wale jamaa wa "Iyo hela itume kwenye namba hii airtel .... jina litakuja........."Sms zinazotumwa kutoka kwa watu wasiojulikana zimekuwa ni kero kubwa sana na wakati mwingine zinawapa wananchi wasiwasi kuwa huenda taarifa zao binafi zinazohifadhiwa kwenye simu ya mkonini zikawa zimevuja...tunaomba serikali au mamlaka husika itilie mkazo kwenye kudhibi tabia hizi za sms za kitapeli na nyinginezo zisizo rasmi. View attachment 3049840
Hii ni hatar ndugu zangu
ExactlyKuna mtu anawapa hawa watu database ya number za simu na pia wanatumia bulk sms, maana mimi nina namba za mitandao tofauti, kuna siku nakuta namba mbili za mitandao tofauti zimetumiwa msg moja kwa muda mmoja. Tcra iko shindwa kazi 😡