Usijefanya mambo kama ya kupatana ,, hakikisha sio mtu binafsi unamlipaKuna bidhaa nataka ninunue kupitia mtandao wa jumia lakin wanataka nilipie kabisa hapo ndipo nimepata ukakasi,,Mwenye uelewa kuhusu mtandao wa jumia naomba anisaidie au aliewahi kununua bidhaa Jumia Msaada wadau
Aaah okayUsijefanya mambo kama ya kupatana ,, hakikisha sio mtu binafsi unamlipa
Na izo bidhaa zao sio used??nijuavyo wana option ya kulipa wakat unapokea mzigo wako.
kwa ninavyowafahamu mimi siyo matapeli, weka oda, chagua ama wakuletee au ukauchukue mwenyewe kwenye pick up center zao. jana tu mi nimetoka kuchukua items zangu.
Kwani condition inasemaje?Na izo bidhaa zao sio used??
Hapana hawa jamaa nilishafanya nao biasharaKuna bidhaa nataka ninunue kupitia mtandao wa jumia lakin wanataka nilipie kabisa hapo ndipo nimepata ukakasi,,Mwenye uelewa kuhusu mtandao wa jumia naomba anisaidie au aliewahi kununua bidhaa Jumia Msaada wadau
Wanasema siku izi hawana option iyo ya deliver cash bt unalipa kabla ya kudeliver bidhaaSio Matapeli Jumia kurahisisha chukua option ya cash on delivery na kama hujaridhika na kitu unaweza kukirudsha so kuwa na amani Mkuu
Hawana iyo option nowdays wameniambia lipa kwanza ndio wanatuma bidhaaNimeshanunua vitu vingi kwao na nalipa baada ya kuvipata...unaangalia mzigo wako ukiridhika nao unatoa hela....na pia vitu ni vipya sio used chagua option ya cash on delivery
Nimenunua note 5, wamailete nilipo ridhika baada yakuiona ,nika wa cash.
umenunua ln mkuu??
ShukraniHapana hawa jamaa nilishafanya nao biashara
Wakaniletea bidhaa yangu mpaka nilipo
Wako convinience kabisa
Ondoa shaka ya kuibiwa
Ila cha msingi usilipie inawezekana ni matapeli wengine wamejiingiza
Siunajua wajanja wengi ukiongeza na mambo ya internet
Wameniambia hakuna iyo kitu siku izi,,unalipa kwanza wanatuma bidhaahmm sidhani km wana utapeli hawa jamaa,nmenunua zaid x20 nao sijawahi ona utapeli au ubabaishaj,jarbu kutumia option ya kulipa on delivery kuepusha usumbufu
Uliwaha kununua bidhaa kwao??Sio matapeli mkuu
Mitandao yote ya manunuzi, Utaratibu ni kulipia kwanza.Kuna bidhaa nataka ninunue kupitia mtandao wa jumia lakin wanataka nilipie kabisa hapo ndipo nimepata ukakasi,
Utapeli mtandaoni upo sana kuna mtu anaweza badilisha letter moja tu kwa anwani na usigundue kuwa upo kwenye wrong site. Lipia mzigo ukifika au uende ofisini kwao ulipe na uchukue mzigo. Usifanye malipo online ikiwa hauna hakika ya unachokifanya.Wanasema siku izi hawana option iyo ya deliver cash bt unalipa kabla ya kudeliver bidhaa