Jumia ni matapeli au sio??

Jumia ni matapeli au sio??

Saad10

Member
Joined
Aug 2, 2017
Posts
21
Reaction score
4
Kuna bidhaa nataka ninunue kupitia mtandao wa jumia lakin wanataka nilipie kabisa hapo ndipo nimepata ukakasi,,Mwenye uelewa kuhusu mtandao wa jumia naomba anisaidie au aliewahi kununua bidhaa Jumia Msaada wadau
 
Usijefanya mambo kama ya kupatana ,, hakikisha sio mtu binafsi unamlipa
 
nijuavyo wana option ya kulipa wakat unapokea mzigo wako.

kwa ninavyowafahamu mimi siyo matapeli, weka oda, chagua ama wakuletee au ukauchukue mwenyewe kwenye pick up center zao. jana tu mi nimetoka kuchukua items zangu.
 
Na izo bidhaa zao sio used??
 
hmm sidhani km wana utapeli hawa jamaa,nmenunua zaid x20 nao sijawahi ona utapeli au ubabaishaj,jarbu kutumia option ya kulipa on delivery kuepusha usumbufu
 
Kuna bidhaa nataka ninunue kupitia mtandao wa jumia lakin wanataka nilipie kabisa hapo ndipo nimepata ukakasi,,Mwenye uelewa kuhusu mtandao wa jumia naomba anisaidie au aliewahi kununua bidhaa Jumia Msaada wadau
Hapana hawa jamaa nilishafanya nao biashara
Wakaniletea bidhaa yangu mpaka nilipo
Wako convinience kabisa
Ondoa shaka ya kuibiwa
Ila cha msingi usilipie inawezekana ni matapeli wengine wamejiingiza
Siunajua wajanja wengi ukiongeza na mambo ya internet
 
Sio Matapeli Jumia kurahisisha chukua option ya cash on delivery na kama hujaridhika na kitu unaweza kukirudsha so kuwa na amani Mkuu
 
Wanasema siku izi hawana option iyo ya deliver cash bt unalipa kabla ya kudeliver bidhaa
 
Nimeshanunua vitu vingi kwao na nalipa baada ya kuvipata...unaangalia mzigo wako ukiridhika nao unatoa hela....na pia vitu ni vipya sio used chagua option ya cash on delivery
Hawana iyo option nowdays wameniambia lipa kwanza ndio wanatuma bidhaa
 
Hapana hawa jamaa nilishafanya nao biashara
Wakaniletea bidhaa yangu mpaka nilipo
Wako convinience kabisa
Ondoa shaka ya kuibiwa
Ila cha msingi usilipie inawezekana ni matapeli wengine wamejiingiza
Siunajua wajanja wengi ukiongeza na mambo ya internet
Shukrani
 
hmm sidhani km wana utapeli hawa jamaa,nmenunua zaid x20 nao sijawahi ona utapeli au ubabaishaj,jarbu kutumia option ya kulipa on delivery kuepusha usumbufu
Wameniambia hakuna iyo kitu siku izi,,unalipa kwanza wanatuma bidhaa
 
Kuna bidhaa nataka ninunue kupitia mtandao wa jumia lakin wanataka nilipie kabisa hapo ndipo nimepata ukakasi,
Mitandao yote ya manunuzi, Utaratibu ni kulipia kwanza.

Jumia wana utaratibu mzuri walio jiwekea, Fedha ukituma haiendi kwa muuzaji direct bali kwao jumia.

Hivyo ondoa shaka, utapata bidhaa unayoihitaji.
 
Wanasema siku izi hawana option iyo ya deliver cash bt unalipa kabla ya kudeliver bidhaa
Utapeli mtandaoni upo sana kuna mtu anaweza badilisha letter moja tu kwa anwani na usigundue kuwa upo kwenye wrong site. Lipia mzigo ukifika au uende ofisini kwao ulipe na uchukue mzigo. Usifanye malipo online ikiwa hauna hakika ya unachokifanya.
 
Back
Top Bottom