Jumia ni matapeli au sio??

Ila cha msingi usilipie inawezekana ni matapeli wengine wamejiingiza
Siunajua wajanja wengi ukiongeza na mambo ya internet
Kwa mfumo wa jumia ulivyo, matapeli hawana nafasi. Orders zote wanazisimamia wao wenyewe.
 
Jumia wako poa, kikuu ndio wazinguaji, kuna bidhaa nimenunua since last Dec, inaonyesha ishafika hapa , Ila kunileteA mzozo! Mbaya zaidi cash mbele, tofauti na jumia ambayo ilikuwa cash on delivery
 
Wameniambia hakuna iyo kitu siku izi,,unalipa kwanza wanatuma bidhaa
Acha uongo mkuu...mm nimenunua kitu jana tu nimelipia baada ya kuridhika kitu kipo vzr tena ukishaweka oda wanakupigia simu kbs ku-confirm na mtu wa delivery akiwa anakuja unatumiwa msg jina na namba yake nayeye atakupigia simu. Labda ww hutumii Jumia tunayotumia sisi wengine acheni kuharibu biashara za watu
 
Wako vizuri hawa jamaa. Fast delivery na customer care iko vizuri saaaana
 
Jumia sio matapeli , ndio biashara ya mtandao yenye usminifu kwa hapa Tanzania
 
Mkuu kwann niongope sasa??Na nimeleta huu uzi kuuliza tu ili niwe na uhakika so sina interest ya kuharibu biashara za watu,,nasema nilichoambiwa na jumia wenywe
 
Utapeli mtandaoni upo sana kuna mtu anaweza badilisha letter moja tu kwa anwani na usigundue kuwa upo kwenye wrong site. Lipia mzigo ukifika au uende ofisini kwao ulipe na uchukue mzigo. Usifanye malipo online ikiwa hauna hakika ya unachokifanya.
Nipo mkoan mkuu ila nimeona tayar ukilipia kwa tigopesa wanaonyesha jina lao la kampun kabisa,,nazan sio matapeli jumia
 
Mkuu kwann niongope sasa??Na nimeleta huu uzi kuuliza tu ili niwe na uhakika so sina interest ya kuharibu biashara za watu,,nasema nilichoambiwa na jumia wenywe
Jumia ya wapi hiyo mkuu Jana nimeweka order malipo baada ya kupokea mzigo
 
sio matapeli hata kidogo mm nmenunua vitu vingi kwao na hela unatoa mzigo ukishaupata anaetaka hela kabla ya bidhaa huyo ni tapeli
 
Mitandao yote ya manunuzi, Utaratibu ni kulipia kwanza.

Jumia wana utaratibu mzuri walio jiwekea, Fedha ukituma haiendi kwa muuzaji direct bali kwao jumia.

Hivyo ondoa shaka, utapata bidhaa unayoihitaji.
Ni kweli mkuu nimepata bidhaa yangu shukran
 
sio matapeli hata kidogo mm nmenunua vitu vingi kwao na hela unatoa mzigo ukishaupata anaetaka hela kabla ya bidhaa huyo ni tapeli
Nimelipa kwanza ndio wameleta mzigo utaratib umebadilika mkuu,,unalipia kwa tigopesa wanakupa namba ya kampuni ambayo ni 611644
 
Kuna bidhaa nataka ninunue kupitia mtandao wa jumia lakin wanataka nilipie kabisa hapo ndipo nimepata ukakasi,,Mwenye uelewa kuhusu mtandao wa jumia naomba anisaidie au aliewahi kununua bidhaa Jumia Msaada wadau
Unalipa pale unapo pokea mzgo wako,na mtu atakae kuletea ndyo unamlipa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…