Jumia ni matapeli au sio??

Jumia ni matapeli au sio??

sio matapeli, nimewai kununua vitu kwao, tena wanakuletea mpaka ulipo, na huwa nalipa nikishapokea mzigo
 
Kuna bidhaa nataka ninunue kupitia mtandao wa jumia lakin wanataka nilipie kabisa hapo ndipo nimepata ukakasi,,Mwenye uelewa kuhusu mtandao wa jumia naomba anisaidie au aliewahi kununua bidhaa Jumia Msaada wadau
Mi nipo Morogoro nilichagua bidhaa kwenye app yao nikalipa kwa tigopesa , bidhaa nikaenda kuichukua hapo Msamvu stand kwa uaminifu, labda waniibie next time, lakini wapo vizuri Jumia
 
Back
Top Bottom