Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
du!!! hao jamaa wa IT hawakuhudhuria kikao cha mwanza nini?? au ndiyo ule usemi kwamba kwenye crime hata kama wewe ni smart vipi lazima utaacha evidence.
Babasean, nikurekebishe kidogo hapo kwenye bold, si kweli kwamba alisema hazipendi hesabu bali alisema haziwezi hesabu. Kuna tofauti kubwa kati ya kupenda na kuweza though pia ukizichukia ni likely pia kutoziweza. Namshukuru kwa kuwa mkweli maana angesema anaweza ilihali mambo anayofanya ni kama mtu asiyeziweza hesabu then tungemkosoa. Hivi watanzania inakuwaje mnamchagua mtu hawezi arithmetic mathematics (+,-,/,*) ? No wonder anafanya vituko mnamlaumu wakati ni nyinyi wa kulaumiwa kwa kumpa mtu kazi asiyoiweza.Ina maana NEC hawajasoma hisabati za MAGAZIJUTO?
Lakini hili linawezekana kwa kuwa hata JK mwenyewe alikiri kuwa hapendi hisabati wa hesabu.
sasa sembuse Lewis Makame na Kravu?
That may reflect mpaka uwezo wa wanasheria wwetu waandamizi iwapo jaji Makame anakubali kuhusishwa na upupu kama huu wakati alishastaafu kwa heshima zote ==== ni nini anakosa mpaka anafikia kiasi cha kuaibika hivi? hivi alishindwa kuomba ajiuzulu baada ya kuona madudu haya?Katika hali ya kushangaza mh judge lewis makame ajichanganya kwenye kutaja matokeo ya mwisho ya urais.hivi ndivyo alivyosema:
valid votes-8398394
mziray-96933
kikwete-5276827
slaa-2271941
lipumba-695667
rungwe-26388
Tlp-17482
dovutwa-13176
nikifanya mahesabu ya kujumlisha ninapata utofauti wa vichwa 20 kati ya valid votes na kura walizopata wagombea.CHUNGUZA!!
nakumbuka mwa
nzoni kabla ya kuanza kupiga kura tuliambiwa watu waliojiandikisha ni milioni 19 jana jaji makame anasema ni 20 milioni. chakachua ilikuwa ya hali ya juu sana