Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,885
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umebugi mzee! Angalia ramani yako vizuri, nchi nyingi ambazo ni traditional tourist sources kwa Tanzania ni "partially closed"; US, Europe, China na Russia! Watalii watafurika kwenye Taifa teule Tanzania, Mungu atupe nini zaidi!
Mbona kuna ndege tayari ambazo zilionyeshwa zikiteremsha watalii. Kama huamini taarifa kwamba kuna wengine zaidi waliofanya booking mpaka Agosti, si uende tu hapo uwanjani uwahoji wanaoingia wanatokea wapi kwa kuwa nchi 126 zimefunga anga zao.
Ushauri wa bure kunywa sumu ufe ili kuonyesha msisitizo huupendi huu Utawala wa CCM.
Ushauri wa bure kunywa sumu ufe ili kuonyesha msisitizo huupendi huu Utawala wa CCM.
Chadema mpo km misikule
Hao watalii wetu watatokea Afghanistan au Iraq?Chadema mpo km misikule
Haka kapicha naona umekomaa nako alafu hamn mtu anakushobokeaUmetumia neno zuri sana-"Utawala"!View attachment 1482491
Dogo uko shallow sana bora unyamazeMbona kuna ndege tayari ambazo zilionyeshwa zikiteremsha watalii. Kama huamini taarifa kwamba kuna wengine zaidi waliofanya booking mpaka Agosti, si uende tu hapo uwanjani uwahoji wanaoingia wanatokea wapi kwa kuwa nchi 126 zimefunga anga zao.