mkaruka ataja rinu
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 3,527
- 2,469
Mkuu angalia Flight Rader uone midege ilivyo busy huko angani au wewe unaongelea anga gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu angalia Flight Rader uone midege ilivyo busy huko angani au wewe unaongelea anga gani?
Toa hoja! Ingekuwa hakuna ndege zilizokuja na watalii na ukasikia Serikali ikitangaza tutaleta watalii, hapo ndipo ungeuliza hao watalii watatoka wapi wakati nchi 126 zimefunga anga zao? Ndege zinakuja na zinaonekana zikishusha watalii. Wewe bado huamini kama kweli watalii watakuja! Unanisema mimi 'shalliow'! Nipanue akili yangu basi wewe uliye full mpaka unaona logic kwenye reasoning ya kutoamini wakati ndege tayari zinaleta watalii.Dogo uko shallow sana bora unyamaze
Unazidi kujionyesha jinsi ulivyo zaidi ya 'shallow'; ni total mjinga!Toa hoja! Ingekuwa hakuna ndege zilizokuja na watalii na ukasikia Serikali ikitangaza tutaleta watalii, hapo ndipo ungeuliza hao watalii watatoka wapi wakati nchi 126 zimefunga anga zao? Ndege zinakuja na zinaonekana zikishusha watalii. Wewe bado huamini kama kweli watalii watakuja! Unanisema mimi 'shalliow'! Nipanue akili yangu basi wewe uliye full mpaka unaona logic kwenye reasoning ya kutoamini wakati ndege tayari zinaleta watalii.