Toa hoja! Ingekuwa hakuna ndege zilizokuja na watalii na ukasikia Serikali ikitangaza tutaleta watalii, hapo ndipo ungeuliza hao watalii watatoka wapi wakati nchi 126 zimefunga anga zao? Ndege zinakuja na zinaonekana zikishusha watalii. Wewe bado huamini kama kweli watalii watakuja! Unanisema mimi 'shalliow'! Nipanue akili yangu basi wewe uliye full mpaka unaona logic kwenye reasoning ya kutoamini wakati ndege tayari zinaleta watalii.