Jumla ya pesa zote Benki ni shilingi ngapi?

Jumla ya pesa zote Benki ni shilingi ngapi?

sijali nkinda

New Member
Joined
Jun 30, 2015
Posts
3
Reaction score
1
Jamani mimi nataka kujua hivi Tanzania inamiliki pesa jumla kiasi gani?. Nataka nichukue jumla ya pesa zote Tanzania nigawe Kwa idadi ya watu nchini halafu tujue wastani kila mtu anatakiwa na kiasi gani.

Hii itasaidia kuweka wazi hata Kwa sheria kwamba kila mtu nchini Tanzania anatakiwa kumliki kiasi cha pesa kisichozidi wastani.

Mtu yeyote atakakuwa na kiasi cha pesa kinachozidi wastani, asiendeleke kutafuta pesa maana atafanya wenye pesa chini ya wastani kutoufikia wastani wa pesa wanapokuwa wanajishulisha katika utafutaji pesa.
 
Ukishazijua unataka watanzania wote tupewe mgao😃😃😃
 
Back
Top Bottom