USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 12,213
- 28,916
JUMLA YA SHILINGI BILIONI 98 ZIMELETWA WILAYA YA BIHARAMULO KUTEKELEZA MIRADI MBALIMBALI YA MAENDELEO KWA KIPINDI CHA MIAKA 04 YA UONGOZI DKT SAMIA SULUHU HASSAN.
Na S.L.T
Waziri wa Sheria na katiba Dkt Damas Ndumbaro amesema kuwa kwa Kipindi Cha miaka 04 ya uongozi wa Raisi Samia Wilaya ya Biharamulo imepokea fedha zaidi ya shilingi Bilioni 98 ambazo zimetekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo jambo ambalo Awali halijawahi kutokea.
Ameyasema hayo wakati wa uzinduzi wa kampeni ya msaada wa kisheria ya Mama Samia ambayo imeanza kutolewa tangu tarehe 15 na itahitimishwa tarehe 23 mwezi Aprili ambayo ni ya siku 09 ndani ya Wilaya ya Biharamulo hafla iliyofanyika katika stendi kuu ya mabasi Biharamulo.
Awali Mbunge wa Jimbo la Biharamulo magharibi ameeleza kuwa Pamoja na upendo wa Raisi kuleta wanasheria ipo miradi iliyojengwa na mingine ikiwa kwenye mchakato ukiwemo mradi wa ujenzi wa jengo la halmashauri na mradi mkubwa wa maji ya Ziwa Victoria wa shilingi bilioni 158 kwa ushirikiano na nchi ya Hungary🌷