Jumuiya ya EAC ngazi ya vijiji mfano wa kuigwa

Tofauti ya Kenya na Tanzania ni ndogo mno. I would like to see the results of this survey now that the regime has changed. Kila mtu anajua awamu iliyopita mambo mengi yalidorora. Siamini kwamba pamoja na mdororo huo bado tukawa nanyi jino kwa jino......even producing the best performing district in EA!
1)The only place tunakaribiana ni school enrolment, lakini huko kwengine kwa hesabu na kusoma bado mko mbali sana!!!!! Umesoma vizuri kweli? Kwa wote waliofanywa mtihani wa hesabu na kusoma asilimia 64 walipita Kenya, Tanzania ni 48% , hio ni tofauti kubwa sana .. Tena isitoshe ukiangalia hio picha ya kwanza nimeweka 59% ya wanafuzi kutoka maeneo maskini kenya walipita mtihani. 55% ya wanafuzi kutoka maeneo yasiyo maskini tanzania walipita mtihani huo huo... Hio inamaanisha hata mkenya kutoka eneo duni anafundishwa vizuri kuliko mtoto anaetoka eneo la kitajiri tanzania!

2) They go around every country's District and interview pupils.... in total, they interview 600,000 pupils in each country, this takes along time kwahivyo results za sasa zitakuja 2018 huko...

3) When their is a regime change it doesnt mean that suddenly teachers become better at teaching, it takes more than that, kwahivyo unafaa utuambie ni nini kimegeuka kwa mfumo wa elimu..... kwa mfano kenya, Walimu wameongezwa zaidi, mfumo wa SchoolFeedingProgram umeongezwa pesa ili wanafunzi wapewe chakula cha bure....kila shule (98%) sasa iko na stima

4) yes contratulations, best performing district in Maths, Alafu baada ya hapo hamuonekani kwa top ten tena....
 
Simple.......sera ya elimu bure. The most recent report by HakiElimu shows that enrolment rates have shot up and much more students are actually staying in school and completing school.
 
Back
Top Bottom