Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) yalaani vitendo vya utekaji, watu kupotea

Inside10

Platinum Member
Joined
May 20, 2011
Posts
34,776
Reaction score
42,933
Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT), kupitia mwenyekiti wake mpya, Askofu Dkt. Stanley Hotay, imetoa tamko kali kulaani vitendo vya utekaji na watu kupotea ambavyo vimeendelea kushamiri katika maeneo mbalimbali ya nchi.

Tamko hilo limetolewa kufuatia Mkutano Mkuu wa 32 wa Jumuiya hiyo uliofanyika hivi karibuni, ambapo viongozi wa makanisa walielezea masikitiko yao juu ya hali hiyo ya kihalifu inayotishia amani, haki za binadamu, na mshikamano wa kitaifa.

Katika kauli yao, CCT imesisitiza kuwa haifungamani na upande wowote katika matukio hayo, bali inasimama pamoja na wananchi wote wa Tanzania katika kupinga kwa nguvu zote vitendo hivyo vinavyokiuka misingi ya utu na utawala wa sheria.

Jumuiya hiyo imetoa wito kwa serikali kufuatilia kwa karibu matukio hayo kwa kushirikiana na jamii ili kuhakikisha wahusika wanakamatwa na kufikishwa kwenye vyombo vya sheria.

Aidha, imesisitiza haja ya kuimarisha mifumo ya ulinzi wa raia na kuhakikisha kuwa vyombo vya usalama vinawajibika ipasavyo katika kulinda maisha ya wananchi.

CCT pia imesisitiza umuhimu wa kulinda uhuru wa kutoa maoni na haki za binadamu, ikieleza kuwa taifa lenye haki na demokrasia hujengwa juu ya misingi ya uhuru, usawa, na uwajibikaji.

Askofu Dkt. Hotay amehitimisha kwa kuhimiza maombi ya pamoja, mshikamano wa kitaifa, na majadiliano ya wazi yatakayosaidia kurejesha imani ya wananchi kwa taasisi za dola.

Attachments

  • snapins-ai_3669370987520829705.mp4
    5.3 MB
Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT), kupitia Mwenyekiti wake mpya Askofu Dkt. Stanley Hotay, imetoa tamko kali kulaani vitendo vya utekaji na watu kupotea ambavyo vimeendelea kushamiri katika maeneo mbalimbali ya nchi.

Tamko hilo limetolewa kufuatia Mkutano Mkuu wa 32 wa Jumuiya hiyo uliofanyika hivi karibuni, ambapo viongozi wa makanisa walielezea masikitiko yao juu ya hali hiyo ya kihalifu inayotishia amani, haki za binadamu, na mshikamano wa kitaifa.Katika kauli yao, CCT imesisitiza kuwa haifungamani na upande wowote katika matukio hayo, bali inasimama pamoja na wananchi wote wa Tanzania katika kupinga kwa nguvu zote vitendo hivyo vinavyokiuka misingi ya utu na utawala wa sheria.

Jumuiya hiyo imetoa wito kwa serikali kufuatilia kwa karibu matukio hayo kwa kushirikiana na jamii ili kuhakikisha wahusika wanakamatwa na kufikishwa kwenye vyombo vya sheria. Aidha, imesisitiza haja ya kuimarisha mifumo ya ulinzi wa raia na kuhakikisha kuwa vyombo vya usalama vinawajibika ipasavyo katika kulinda maisha ya wananchi.

CCT pia imesisitiza umuhimu wa kulinda uhuru wa kutoa maoni na haki za binadamu, ikieleza kuwa taifa lenye haki na demokrasia hujengwa juu ya misingi ya uhuru, usawa, na uwajibikaji.Askofu Dkt. Hotay amehitimisha kwa kuhimiza maombi ya pamoja, mshikamano wa kitaifa, na majadiliano ya wazi yatakayosaidia kurejesha imani ya wananchi kwa taasisi za dola.
 
Ndugu askofu, serikali ndiyo inayoteka na kuua watu. Vipi unaiomba tena serikali hiyo hiyo kuwakamata watekaji? Yaani ndugu askofu unataka serikali ijikamate??
The State has been captured by mafians long time ago. These are high profiled politicians, government leaders, international business companies i.e DP World and others...

These, normally put their influences in all of the state/government decisions, policy making, judicial system etc

Kuna serikali ya kimafia ndani ya serikali ya kawaida...

Na sababu ni moja tu, Tanzania ktk miaka hii minne after Magufuli's death (since 2021), imekuwa kama haina kiongozi mkuu wa nchi (Rais). Huyu mwanamke (Samia) hamna kitu pale. Ni picha tu iliyoko Ikulu, hakuna Rais pale. Tushtuke, la tukichelewa kushituka, tutavuna mabua...

Na mafia hawa wame - take advantage ya udhaifu wa taasisi ya u - Rais kuiteka serikali halali na nchi yote, wakajiweka hapo wao na hivyo kujifanyia watakayo..

Na wanatumia kila njia na kila fedha walizonazo kuhakikisha udhaifu huu unaoendelea hadi 2030. Ndio maana mauaji na ujinga wote unaoendelea sasa hapa nchini...

Hawa BAKWATA, CCT na TEC wanauma na kupuliza kwa sababu baadhi yao ni sehemu ya genge hili hatari...

Ni kiongozi wa dini mmoja tu, Askofu Josephat Gwajima wa makanisa ya GCTC - Ufufuo na Uzima duniani aliyelipiga nyundo kwelikweli genge hili na kugusa mahali pao pa siri ilipo. Hayakupenda, yalikasirika sana na juhudi za kumshughulikia kujaribu kummaliza zinaendelea, lakini HAWATAWEZA...!!

Hawa kina CCT, TEC na BAKWATA, narudia tena kusema kuwa, HAKUNA KITU HUMO. SOME ARE GANG MEMBERS KATIKA KANZU NA MAJOHO YA KIDINI. wanahongwa na wanahongeka kirahisi kabisa...!!
 
That's a naked truth The Palm Beach .

Na tukimchekea akachukua mitano tena atatuachia maafa, vifungo vya magerezani, madeni na tutapoteza ndugu zetu wengi kwa kutekwa na kupotezwa.
 
Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT), kupitia Mwenyekiti wake mpya Askofu Dkt. Stanley Hotay, imetoa tamko kali kulaani vitendo vya utekaji na watu kupotea ambavyo vimeendelea kushamiri katika maeneo mbalimbali ya nchi.

Tamko hilo limetolewa kufuatia Mkutano Mkuu wa 32 wa Jumuiya hiyo uliofanyika hivi karibuni, ambapo viongozi wa makanisa walielezea masikitiko yao juu ya hali hiyo ya kihalifu inayotishia amani, haki za binadamu, na mshikamano wa kitaifa.

Katika kauli yao, CCT imesisitiza kuwa haifungamani na upande wowote katika matukio hayo, bali inasimama pamoja na wananchi wote wa Tanzania katika kupinga kwa nguvu zote vitendo hivyo vinavyokiuka misingi ya utu na utawala wa sheria.

Jumuiya hiyo imetoa wito kwa serikali kufuatilia kwa karibu matukio hayo kwa kushirikiana na jamii ili kuhakikisha wahusika wanakamatwa na kufikishwa kwenye vyombo vya sheria. Aidha, imesisitiza haja ya kuimarisha mifumo ya ulinzi wa raia na kuhakikisha kuwa vyombo vya usalama vinawajibika ipasavyo katika kulinda maisha ya wananchi.

CCT pia imesisitiza umuhimu wa kulinda uhuru wa kutoa maoni na haki za binadamu, ikieleza kuwa taifa lenye haki na demokrasia hujengwa juu ya misingi ya uhuru, usawa, na uwajibikaji.

Askofu Dkt. Hotay amehitimisha kwa kuhimiza maombi ya pamoja, mshikamano wa kitaifa, na majadiliano ya wazi yatakayosaidia kurejesha imani ya wananchi kwa taasisi za dola.

......................................................................................
Nb , waislamu sijawahi kusikia kwa umoja wao wakilaani haya mambo, wao kifo ni kifo tu.
 
Ni kiongozi wa dini mmoja tu, Askofu Josephat Gwajima wa makanisa ya GCTC - Ufufuo na Uzima duniani aliyelipiga nyundo kwelikweli genge hili na kugusa mahali pao pa siri ilipo. Hayakupenda, yalikasirika sana na juhudi za kumshughulikia kujaribu kummaliza zinaendelea, lakini HAWATAWEZA...!!
Vipi kanisa lenu limefunguliwa ?
 
The State has been captured by mafians long time ago. These are high profiled politicians, government leaders, international business companies i.e DP World and others...

These, normally put their influences in all of the state/government decisions, policy making, judicial system etc

Kuna serikali ya kimafia ndani ya serikali ya kawaida...

Na sababu ni moja tu, Tanzania ktk miaka hii minne after Magufuli's death (since 2021), imekuwa kama haina kiongozi mkuu wa nchi (Rais). Huyu mwanamke (Samia) hamna kitu pale. Ni picha tu iliyoko Ikulu, hakuna Rais pale. Tushtuke, la tukichelewa kushituka, tutavuna mabua...

Na mafia hawa wame - take advantage ya udhaifu wa taasisi ya u - Rais kuiteka serikali halali na nchi yote, wakajiweka hapo wao na hivyo kujifanyia watakayo..

Na wanatumia kila njia na kila fedha walizonazo kuhakikisha udhaifu huu unaoendelea hadi 2030. Ndio maana mauaji na ujinga wote unaoendelea sasa hapa nchini...

Hawa BAKWATA, CCT na TEC wanauma na kupuliza kwa sababu baadhi yao ni sehemu ya genge hili hatari...

Ni kiongozi wa dini mmoja tu, Askofu Josephat Gwajima wa makanisa ya GCTC - Ufufuo na Uzima duniani aliyelipiga nyundo kwelikweli genge hili na kugusa mahali pao pa siri ilipo. Hayakupenda, yalikasirika sana na juhudi za kumshughulikia kujaribu kummaliza zinaendelea, lakini HAWATAWEZA...!!

Hawa kina CCT, TEC na BAKWATA, narudia tena kusema kuwa, HAKUNA KITU HUMO. SOME ARE GANG MEMBERS KATIKA KANZU NA MAJOHO YA KIDINI. wanahongwa na wanahongeka kirahisi kabisa...!!
Haya yanayofanywa na serekali hii ni copy & paste ya alichokuwa anafanya Magufuli. Mkuu usidhani tumesahau hii tabia mizizi yake ni wapi.
 
Back
Top Bottom