The State has been captured by mafians long time ago. These are high profiled politicians, government leaders, international business companies i.e DP World and others...
These, normally put their influences in all of the state/government decisions, policy making, judicial system etc
Kuna serikali ya kimafia ndani ya serikali ya kawaida...
Na sababu ni moja tu, Tanzania ktk miaka hii minne after Magufuli's death (since 2021), imekuwa kama haina kiongozi mkuu wa nchi (Rais). Huyu mwanamke (Samia) hamna kitu pale. Ni picha tu iliyoko Ikulu, hakuna Rais pale. Tushtuke, la tukichelewa kushituka, tutavuna mabua...
Na mafia hawa wame - take advantage ya udhaifu wa taasisi ya u - Rais kuiteka serikali halali na nchi yote, wakajiweka hapo wao na hivyo kujifanyia watakayo..
Na wanatumia kila njia na kila fedha walizonazo kuhakikisha udhaifu huu unaoendelea hadi 2030. Ndio maana mauaji na ujinga wote unaoendelea sasa hapa nchini...
Hawa BAKWATA, CCT na TEC wanauma na kupuliza kwa sababu baadhi yao ni sehemu ya genge hili hatari...
Ni kiongozi wa dini mmoja tu, Askofu Josephat Gwajima wa makanisa ya GCTC - Ufufuo na Uzima duniani aliyelipiga nyundo kwelikweli genge hili na kugusa mahali pao pa siri ilipo. Hayakupenda, yalikasirika sana na juhudi za kumshughulikia kujaribu kummaliza zinaendelea, lakini HAWATAWEZA...!!
Hawa kina CCT, TEC na BAKWATA, narudia tena kusema kuwa, HAKUNA KITU HUMO. SOME ARE GANG MEMBERS KATIKA KANZU NA MAJOHO YA KIDINI. wanahongwa na wanahongeka kirahisi kabisa...!!