Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Nimefuatilia Kesi ya Uongo ya Uhaini aliyobambikiwa Tundu Lissu na Serikali Katili ya Tanzania leo Mahakamani Kisutu.
Lakini kama kawaida yangu nilijikita katika kuangalia namna Jumuiya ya Kimataifa inavyofuatilia Kesi hii inayodhalilisha Taifa letu.
Watu wa Mwanzo kabisa kufika Mahakamani hapo ni wawakilishi kutoka EU, hiyo ilikuwa saa 12 na dk 45 Asubuhi, wakifuatiwa na Mawakili wa Chadema walioingia Mahakamani saa 1 na dk 2 asubuhi, baadaye saa 1 na nusu walifika watu wengine wakiwemo na Wawakilishi wa Ubalozi wa Marekani.
Baada ya hapo wakaanza kufumuka watu wote.
Huko nje nako Watoto wa Masikini waliendelea kuumiza masikini wenzao kwa masilahi ya matajiri
Hitimisho: Mungu Wabariki Wazungu