Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Hapana.Mbaga jr nilishamuignore muda mrefu sana, ni mjinga na hapaswi kuchangia nyuzi zangu.
Moderator tulishawaomba kwamba hawa wapumbavu na watekaji tulio waignore hawapaswi kuona nyuzi zetu hapa jf, Ugumu uko wapi?
Watekaji watasababisha na mimi nianze kuwateka, sitaki kushiriki hiyo laanaHapana.
Usiwe na hasira, ambayo haitakutofautisha na wao!
Huwezi juwa, michango yao usiyotaka kuiona ndiyo inayoweza kukupa mbinu za kukabiliana nao.
Utajuwa njia za kuwaepuka kutokana na majibishano usiyotaka kuyaona wewe!Watekaji watasababisha na mimi nianze kuwateka, sitaki kushiriki hiyo laana