SK2016 JF-Expert Member Joined Apr 6, 2017 Posts 8,016 Reaction score 13,780 Nov 27, 2019 #261 Huyo mzee wa 69 inaonekana itakuwa tabia yake! Hadi kufikia kuwekewa mtego itakuwa si mara ya kwanza!
Huyo mzee wa 69 inaonekana itakuwa tabia yake! Hadi kufikia kuwekewa mtego itakuwa si mara ya kwanza!
ANKO JEI JF-Expert Member Joined Jul 21, 2018 Posts 1,302 Reaction score 2,462 Nov 28, 2019 #262 MLEVi Mmoja said: Hawa jamaa wana kaushirikiano kama hako kademu kata graduate salama bila supp na retake kama zote kashukuru tu Click to expand... Kaligraduate mkuu mimi nimesoma nako mwaka mmoja na huyo babu katufundisha ,wengine waliogopa ikionekana kanakaziwa na ma supp ingeonekana chuo kinatoa utetezi kwa alieomba rushwa.
MLEVi Mmoja said: Hawa jamaa wana kaushirikiano kama hako kademu kata graduate salama bila supp na retake kama zote kashukuru tu Click to expand... Kaligraduate mkuu mimi nimesoma nako mwaka mmoja na huyo babu katufundisha ,wengine waliogopa ikionekana kanakaziwa na ma supp ingeonekana chuo kinatoa utetezi kwa alieomba rushwa.
N Ninaweza JF-Expert Member Joined Dec 14, 2010 Posts 13,095 Reaction score 8,284 Nov 28, 2019 #263 RRONDO said: Fidia analipwa muathirika,faini inaenda serikalini Click to expand... Nilitegemea mwathirika apate kiasi kikubwa kuliko serekali.
RRONDO said: Fidia analipwa muathirika,faini inaenda serikalini Click to expand... Nilitegemea mwathirika apate kiasi kikubwa kuliko serekali.