Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaligraduate mkuu mimi nimesoma nako mwaka mmoja na huyo babu katufundisha ,wengine waliogopa ikionekana kanakaziwa na ma supp ingeonekana chuo kinatoa utetezi kwa alieomba rushwa.Hawa jamaa wana kaushirikiano kama hako kademu kata graduate salama bila supp na retake kama zote kashukuru tu
Nilitegemea mwathirika apate kiasi kikubwa kuliko serekali.Fidia analipwa muathirika,faini inaenda serikalini