Jumuiya ya Mabaharia Tanzania, mada maalumu

Jumuiya ya Mabaharia Tanzania, mada maalumu

Nimemwelekeza zaman sana kuwa hakuna baharia anayeishi kwao, baharia hata kama huna godoro ghetto utalala hata kwenye mkeka
uwezi kuwapata hao mabaharia wanaoishi kwao!

mabahari wote wana mageto yao na kwa mabahari wasiokua na mageto wanaishi ata vichakani

alafu bila kusahau mabahari wote mbinguni
 
Asilimia 100% ya koment za ivi, huwa zinaanza "niPM"...

Ivi huwa ni kutafuta kumdogosha mtu aonekane ndio muhitaji sana???

Kwann msiwe mnawafata wenyewe PM??


Ila kwa akili za Mademu wa Humu, watakuja, wanaliwa, wanapigwa chini, wanarudi wanapiga kimyakimya [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji1787][emoji1787]
 
niwakumbushe mabahari wote

baharia atongozi msichana ukimpenda unamwambia tu kwanzia leo wewe utakua mpenzi wangu
 
Back
Top Bottom