kama unaishi kwenu! huna ata V moja begani ya ubaharia, nenda geto ata na jamvinaishi kwetu, nichangieni nihamie hata gheto, mimi baharia mwenzenu
Baharia hapandi daldala, anamiliki alteza,niwakumbushe mabahari wote
baharia atongozi msichana ukimpenda unamwambia tu kwanzia leo wewe utakua mpenzi wangu
Duuuuh, mabaharia kazini.Kuna haja ya kuongeza saut kweli mabaharia wenzangu au volume iko sawa
Bas kama dawa kama kawa
Sisi ndo mabaharia na hili ndo genge letu
Kitu cha kuzingia baharia popote uwapo, hakikisha hutwangushi mabaharia wenzio
Ukipewa papuch ichakaze kweli kweli
Ukipewa kazi ichape kweli kweli
Demu kama ana bwawa chapa mara moja lala roma
Kazi kama hailipi achana nayo
Ni marufuku kwa baharia kuishi kwao yaan kwa mama
Ni marufuku kwa baharia kuwa shabiki wa man united
Ni marufuku kwa baharia kuwa boya boya hakuna habaria boya
Ni marufuku kwa baharia kuwa tapel hakuna baria tapel lakin baharia lazima uwe mtoto wa mjini
Na mengine mtaongeza mabaharia
Sisi ndo mabaharia na huu ndo uzi wetu
View attachment 1191637
Tuna ugomvi Mimi na wewe?Ni kikuku ambacho hakiyajui mapenzi lakin kina nyege
Ndo kinaitwa kinyaluhehe huwaga vinasumbua sana
Aiseee ..Inawezekana akawa anayajua ila ikawa bado hajakazwa kibaharia
Inatakiwa akazwe kibaharia mpake aombe maji
Uko vizuri kwenye kunijibiaNi baharia mwenzetu huyo
Ndio..dhambi?Kwahiyo unajipangia majukumu?
AhsanteeeJitahidi kuuficha ukweli nyuma ya keyboard mabaharia hawaongeagi sana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ngoja nione kama naweza kwenda PM au lah.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]uwezi kuwapata hao mabaharia wanaoishi kwao!
mabahari wote wana mageto yao na kwa mabahari wasiokua na mageto wanaishi ata vichakani
alafu bila kusahau mabahari wote mbinguni
Yupo sana tu
Mbona yupo bado na moto.Wahuni mshamtuliza maana alikuja na moto
[emoji1787][emoji23][emoji11][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]niwakumbushe mabahari wote
baharia atongozi msichana ukimpenda unamwambia tu kwanzia leo wewe utakua mpenzi wangu