mankachara
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 6,152
- 3,473
Mbona yupo bado na moto.
Hujauona moto wake jana
marufuku kwa baharia kutoa nauli kwa demu wake
akitoa isizidi sh 7800
Kuacha ushaidi nnje[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa kosa lipi?
The hottest I'd in townHeeee kwa id ipi[emoji44][emoji44][emoji44]
Mabaharia huwa hatukubali kirahisi rahisi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] imekua baridi sasaThe hottest I'd in town
hahahah sawa baharia mkuuKitendo cha kuishi kwenu nyumban unakuwa umejifukuzisha mwenyewe kwenye chama cha mabaharia