Jumuiya ya Mabaharia Tanzania, mada maalumu

Jumuiya ya Mabaharia Tanzania, mada maalumu

Baharia naona anawakilisha vyema huyu, ist mpya safi kabisa imetulia kwa nyuma[emoji3][emoji3][emoji3]
IMG_20190829_180336.jpeg
 
Je baharia anaruhusiwa kuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa?
Baharia haruhusiwi kabisa kuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa

Ila anaruhusiwi kuvutiwa na mgombea wa chama ila tu asiwe mwanachama wa chama cha siasa

Baharia anaweza vutiwa na magufuri lakin haruhusiwi kuwa ccm

Pia bahariwa anaweza vutiwa na sera za zitto lakin harusiwi kabisa kuwa mwanachama wa act
 
Back
Top Bottom