PostGE2025 Jumuiya ya taasisi za Kiislamu waiunga mkono Tume Huru ya Uchunguzi wa uvunjifu wa amani

PostGE2025 Jumuiya ya taasisi za Kiislamu waiunga mkono Tume Huru ya Uchunguzi wa uvunjifu wa amani

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Jumuiya ya Taasisi za Kiislamu nchini wameiunga mkono hotuba ya Rais Samia Suluhu Hassan aliyoitoa bungeni jijini Dodoma wakati akifungua Bunge la 13. Aidha, jumuiya hiyo pia imeunga mkono Tume Huru ya Uchunguzi wa uvunjifu wa amani uliojitokeza wakati na baada ya uchaguzi mkuu, tume ambayo imeundwa na Rais.

Pia Soma: Jumuiya ya taasisi za Kiislamu: Tunalaani vikali vurugu za Oktoba 29, Shughuli za upigaji kura zilienda vizuri kuanzia asubuhi hadi jioni
 
Back
Top Bottom