Jumuiya ya wasio na ajira Tanzania (Tanzania Unemployed Community (TEC). Hiki kitu tukiunde!

Capitrait

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2013
Posts
228
Reaction score
328
Kwa hali ilivyo watu wasio na ajira Tanzania ni ngumu kuwasaidia kwa kuwa hawana mobilization yeyote.

Ile fursa ya Jana ya Mama yetu kuongea na wazee ilikuwa ni fursa nzuri ya kuwasiliana na viongozi wa wazee ili waweke maneno ya ajira Kwa wajukuu zao kwenye hotuba yao.

Kundi la wasio na ajira Tanzania kwa sasa ni wengi mno na wanaushawishi mkubwa mno endapo wangeji mobilize vizuri kistaarabu.

Kama ni hivyo, basi tuanzie movement hapa hapa JF maana humu ndio wengi hukutana. Tutengeneze mobilization yetu tuwe na vikao vyetu vya kukaa pamoja na kushauriana namna ya kusaidia kwa kupewa ajira ama KUJIAJIRI.

Uhakika nilio nao ni kwamba nchi hii haijashindwa kabisa kuwasaidia watu wake KUJIAJIRI hata mara moja, TATIZO hakuna mobilization yao.

Twende kazi sasa, tuji organize pamoja vema tutaungwa mkono na nchi nzima tukiongozwa na mama yetu mwenyewe Rais Samia Suluhu.

Ukweli ulio peupe ni kwamba hakuna ajira ya kutosha kuajiri kila mtu, hili tukubaliane nalo. Ila ukweli ulio wazi zaidi ni kuwa serikali haijashindwa kuwasaidia watu wake KUJIAJIRI na hii ndo habari njema zaidi.

Katika tawala zote Duniani makundi huwa na mobilization.

Ndio maana kuna Mei Mosi siku ya wafanyakazi.

Ndio maana Jana kuna kukutana na wazee maana nao wana mobilization yao.

Kuna Business round table hawa ni wafanya biashara nao soon wanakutana na mama.

Na kadhalika na kadhalika.

Sasa Kwa mfano Mama yetu akataka kukutana na watanzania wasio na ajira anaanzaje anzaje? Haiwezekani maana hawana mobilization.

Kama ni hivyo basi hapa hapa JF tunaanza movement.

Naleta email hapa tutengeneze platform yetu, tupeane ushauri wa hapa na pale badala ya kulialia, kulalamika na kukata tamaa wakati mapambano yenyewe bado.

Ni Mimi,

Capitrait,
Rais,
Jumuiya ya wasio na ajira Tanzania
(Tanzania Unemployed Community - TUC)

Link ya telegram hio hapo:

Tanzania Unemployed Community - TUC (Jumuiya ya wasio na Ajira Tanzania)

Watu ni wengi SANA hivyo channel ya telegram ndio mahsusi Kwa watu wengi.

WhatsApp inabeba wachache sana.
 
Kwa hali ilivyo watu wasio na ajira Tanzania ni ngumu kuwasaidia kwa kuwa hawana mobilization yeyote.

Ile fursa ya Jana ya Mama yetu kuongea na wazee ilikuwa ni fursa nzuri ya kuwasiliana na viongozi wa wazee ili waweke maneno ya ajira Kwa wajukuu zao kwenye hotuba yao.

Kundi la wasio na ajira Tanzania kwa sasa ni wengi mno na wanaushawishi mkubwa mno endapo wangeji mobilize vizuri kistaarabu.

Kama ni hivyo, basi tuanzie movement hapa hapa JF maana humu ndio wengi hukutana. Tutengeneze mobilization yetu tuwe na vikao vyetu vya kukaa pamoja na kushauriana namna ya kusaidia kwa kupewa ajira ama KUJIAJIRI.

Uhakika nilio nao ni kwamba nchi hii haijashindwa kabisa kuwasaidia watu wake KUJIAJIRI hata mara moja, TATIZO hakuna mobilization yao.

Twende kazi sasa, tuji organize pamoja vema tutaungwa mkono na nchi nzima tukiongozwa na mama yetu mwenyewe Rais Samia Suluhu.

Ukweli ulio peupe ni kwamba hakuna ajira ya kutosha kuajiri kila mtu, hili tukubaliane nalo. Ila ukweli ulio wazi zaidi ni kuwa serikali haijashindwa kuwasaidia watu wake KUJIAJIRI na hii ndo habari njema zaidi.

Katika tawala zote Duniani makundi huwa na mobilization.

Ndio maana kuna Mei Mosi siku ya wafanyakazi.

Ndio maana Jana kuna kukutana na wazee maana nao wana mobilization yao.

Kuna Business round table hawa ni wafanya biashara nao soon wanakutana na mama.

Na kadhalika na kadhalika.

Sasa Kwa mfano Mama yetu akataka kukutana na watanzania wasio na ajira anaanzaje anzaje? Haiwezekani maana hawana mobilization.

Kama ni hivyo basi hapa hapa JF tunaanza movement.

Naleta email hapa tutengeneze platform yetu, tupeane ushauri wa hapa na pale badala ya kulialia, kulalamika na kukata tamaa wakati mapambano yenyewe bado.

Ni Mimi,

Capitrait,
Rais,
Jumuiya ya wasio na ajira Tanzania
(Tanzania Unemployed Community - TEC)
Umenikumbusha ya akina UB 40 (Unemployed Benefits)hili jambo liliwatoa wakaja kuwa wanamuziki mahiri na tajiri duniani
 
Wazo zuri Sana....... Lifanyiwe kazi
 
Natoa kiwanja cha kujenga jengo la ofisi.

Kiwanja kipo Soliwaya, Njombe.

NB. Nikiajiriwa nitawanunulia na samani za ofisi.
Tumia hiko kiwanja chako kujiajiri. Kodisha watu wafanyie shughuli mbali mbali. Au ni mpaka uajiriwe ndo Moyo wako uridhike?
 
Back
Top Bottom