Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 35,012
- 70,201
Mh we hujawahi kuona uzi wangu ukielezea nyanya zilivyosombwa na maji?Kha! Sasa unavitunza vyote hivyo vya kazi gani na ajira huna?
Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mh we hujawahi kuona uzi wangu ukielezea nyanya zilivyosombwa na maji?Kha! Sasa unavitunza vyote hivyo vya kazi gani na ajira huna?
Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Hapana ndugu, kwenye vikundi kama hivi kikubwa uaminifuUnaonekana ni brotherman balaa mbona hizo hela zitaisha asbh sana[emoji3]
Naunga mkono asilimia 100. Watu ambao hawana ajira ni wengi sana wanafika 2-5million nchini. Tukiwa na community ambayo italinda maslahi yao na kuwa na sauti moja litakuwa ni jambo la busara. Pia tukieka michango ya alau 5000tsh kwa mwezi kwa watu milioni 1, tunaweza kukusanya 5billion kwa mwezi. Na 60 billion a year. Ndugu zangu 5 billion kwa taasisi kuwekeza sio mbaya na tutakuw na community endelevu kwani tutaweza kuwekeza kwenye shughuli za maendeleo na kupeana ajira wenyewe kwa wenyewe. Mfano taasisi kama taasisi itakuwa na waajiriwa, sehemu tutazowekeza pia tutatoa ajira. Tutapata hela na kuwa na gawio pamoja na kukuza taasisi kwa kusupport wanachama wengi sana. Ni wazo zuri linahitaji tayari wa watu tu. Mimi niko tayari kama tunaweza mobilise watuKwa hali ilivyo watu wasio na ajira Tanzania ni ngumu kuwasaidia kwa kuwa hawana mobilization yeyote.
Ile fursa ya Jana ya Mama yetu kuongea na wazee ilikuwa ni fursa nzuri ya kuwasiliana na viongozi wa wazee ili waweke maneno ya ajira Kwa wajukuu zao kwenye hotuba yao.
Kundi la wasio na ajira Tanzania kwa sasa ni wengi mno na wanaushawishi mkubwa mno endapo wangeji mobilize vizuri kistaarabu.
Kama ni hivyo, basi tuanzie movement hapa hapa JF maana humu ndio wengi hukutana. Tutengeneze mobilization yetu tuwe na vikao vyetu vya kukaa pamoja na kushauriana namna ya kusaidia kwa kupewa ajira ama KUJIAJIRI.
Uhakika nilio nao ni kwamba nchi hii haijashindwa kabisa kuwasaidia watu wake KUJIAJIRI hata mara moja, TATIZO hakuna mobilization yao.
Twende kazi sasa, tuji organize pamoja vema tutaungwa mkono na nchi nzima tukiongozwa na mama yetu mwenyewe Rais Samia Suluhu.
Ukweli ulio peupe ni kwamba hakuna ajira ya kutosha kuajiri kila mtu, hili tukubaliane nalo. Ila ukweli ulio wazi zaidi ni kuwa serikali haijashindwa kuwasaidia watu wake KUJIAJIRI na hii ndo habari njema zaidi.
Katika tawala zote Duniani makundi huwa na mobilization.
Ndio maana kuna Mei Mosi siku ya wafanyakazi.
Ndio maana Jana kuna kukutana na wazee maana nao wana mobilization yao.
Kuna Business round table hawa ni wafanya biashara nao soon wanakutana na mama.
Na kadhalika na kadhalika.
Sasa Kwa mfano Mama yetu akataka kukutana na watanzania wasio na ajira anaanzaje anzaje? Haiwezekani maana hawana mobilization.
Kama ni hivyo basi hapa hapa JF tunaanza movement.
Naleta email hapa tutengeneze platform yetu, tupeane ushauri wa hapa na pale badala ya kulialia, kulalamika na kukata tamaa wakati mapambano yenyewe bado.
Ni Mimi,
Capitrait,
Rais,
Jumuiya ya wasio na ajira Tanzania
(Tanzania Unemployed Community - TEC)
Ngoja aje Mambosasa na Siro Kama kuna wa kubaki hapaRais wetu andaa na Nembo ya chama
5000tsh tunawekeza now na kuendelea kufinance kwa mwaka tu taasisi itasimama, nashauri tuwe serious na kutochukulia shauri hili kwa mzaha. 100% support kutoka kwanguNaunga mkono asilimia 100. Watu ambao hawana ajira ni wengi sana wanafika 2-5million nchini. Tukiwa na community ambayo italinda maslahi yao na kuwa na sauti moja litakuwa ni jambo la busara. Pia tukieka michango ya alau 5000tsh kwa mwezi kwa watu milioni 1, tunaweza kukusanya 5billion kwa mwezi. Na 60 billion a year. Ndugu zangu 5 billion kwa taasisi kuwekeza sio mbaya na tutakuw na community endelevu kwani tutaweza kuwekeza kwenye shughuli za maendeleo na kupeana ajira wenyewe kwa wenyewe. Mfano taasisi kama taasisi itakuwa na waajiriwa, sehemu tutazowekeza pia tutatoa ajira. Tutapata hela na kuwa na gawio pamoja na kukuza taasisi kwa kusupport wanachama wengi sana. Ni wazo zuri linahitaji tayari wa watu tu. Mimi niko tayari kama tunaweza mobilise watu
Njombe unachagua pa kujenga au kulima hakuna wa kukuuliza hapa kwa nan au umefikaje hapa ..kwhy hakuna wa kumkodishaTumia hiko kiwanja chako kujiajiri. Kodisha watu wafanyie shughuli mbali mbali. Au ni mpaka uajiriwe ndo Moyo wako uridhike?
Katiba,sheria na kanuni ndo kitu muhimu na vikisimamiwa ipasavyo tutatokemeza umaskini.Hapana ndugu, kwenye vikundi kama hivi kikubwa uaminifu
TUC member [emoji110]Kwa hali ilivyo watu wasio na ajira Tanzania ni ngumu kuwasaidia kwa kuwa hawana mobilization yeyote.
Ile fursa ya Jana ya Mama yetu kuongea na wazee ilikuwa ni fursa nzuri ya kuwasiliana na viongozi wa wazee ili waweke maneno ya ajira Kwa wajukuu zao kwenye hotuba yao.
Kundi la wasio na ajira Tanzania kwa sasa ni wengi mno na wanaushawishi mkubwa mno endapo wangeji mobilize vizuri kistaarabu.
Kama ni hivyo, basi tuanzie movement hapa hapa JF maana humu ndio wengi hukutana. Tutengeneze mobilization yetu tuwe na vikao vyetu vya kukaa pamoja na kushauriana namna ya kusaidia kwa kupewa ajira ama KUJIAJIRI.
Uhakika nilio nao ni kwamba nchi hii haijashindwa kabisa kuwasaidia watu wake KUJIAJIRI hata mara moja, TATIZO hakuna mobilization yao.
Twende kazi sasa, tuji organize pamoja vema tutaungwa mkono na nchi nzima tukiongozwa na mama yetu mwenyewe Rais Samia Suluhu.
Ukweli ulio peupe ni kwamba hakuna ajira ya kutosha kuajiri kila mtu, hili tukubaliane nalo. Ila ukweli ulio wazi zaidi ni kuwa serikali haijashindwa kuwasaidia watu wake KUJIAJIRI na hii ndo habari njema zaidi.
Katika tawala zote Duniani makundi huwa na mobilization.
Ndio maana kuna Mei Mosi siku ya wafanyakazi.
Ndio maana Jana kuna kukutana na wazee maana nao wana mobilization yao.
Kuna Business round table hawa ni wafanya biashara nao soon wanakutana na mama.
Na kadhalika na kadhalika.
Sasa Kwa mfano Mama yetu akataka kukutana na watanzania wasio na ajira anaanzaje anzaje? Haiwezekani maana hawana mobilization.
Kama ni hivyo basi hapa hapa JF tunaanza movement.
Naleta email hapa tutengeneze platform yetu, tupeane ushauri wa hapa na pale badala ya kulialia, kulalamika na kukata tamaa wakati mapambano yenyewe bado.
Ni Mimi,
Capitrait,
Rais,
Jumuiya ya wasio na ajira Tanzania
(Tanzania Unemployed Community - TEC)
Mimi nakuomba ufungue group WhatsApp na ueke link hapo chini kwenye huu ujumbe ili watu waweze jiunga kisha tuone muamko wa wananchi kama tutafikisha na ata wanachama 100,000 by next weekend means tuko on the right track na tuweze kufanya kitu.Kwa hali ilivyo watu wasio na ajira Tanzania ni ngumu kuwasaidia kwa kuwa hawana mobilization yeyote.
Ile fursa ya Jana ya Mama yetu kuongea na wazee ilikuwa ni fursa nzuri ya kuwasiliana na viongozi wa wazee ili waweke maneno ya ajira Kwa wajukuu zao kwenye hotuba yao.
Kundi la wasio na ajira Tanzania kwa sasa ni wengi mno na wanaushawishi mkubwa mno endapo wangeji mobilize vizuri kistaarabu.
Kama ni hivyo, basi tuanzie movement hapa hapa JF maana humu ndio wengi hukutana. Tutengeneze mobilization yetu tuwe na vikao vyetu vya kukaa pamoja na kushauriana namna ya kusaidia kwa kupewa ajira ama KUJIAJIRI.
Uhakika nilio nao ni kwamba nchi hii haijashindwa kabisa kuwasaidia watu wake KUJIAJIRI hata mara moja, TATIZO hakuna mobilization yao.
Twende kazi sasa, tuji organize pamoja vema tutaungwa mkono na nchi nzima tukiongozwa na mama yetu mwenyewe Rais Samia Suluhu.
Ukweli ulio peupe ni kwamba hakuna ajira ya kutosha kuajiri kila mtu, hili tukubaliane nalo. Ila ukweli ulio wazi zaidi ni kuwa serikali haijashindwa kuwasaidia watu wake KUJIAJIRI na hii ndo habari njema zaidi.
Katika tawala zote Duniani makundi huwa na mobilization.
Ndio maana kuna Mei Mosi siku ya wafanyakazi.
Ndio maana Jana kuna kukutana na wazee maana nao wana mobilization yao.
Kuna Business round table hawa ni wafanya biashara nao soon wanakutana na mama.
Na kadhalika na kadhalika.
Sasa Kwa mfano Mama yetu akataka kukutana na watanzania wasio na ajira anaanzaje anzaje? Haiwezekani maana hawana mobilization.
Kama ni hivyo basi hapa hapa JF tunaanza movement.
Naleta email hapa tutengeneze platform yetu, tupeane ushauri wa hapa na pale badala ya kulialia, kulalamika na kukata tamaa wakati mapambano yenyewe bado.
Ni Mimi,
Capitrait,
Rais,
Jumuiya ya wasio na ajira Tanzania
(Tanzania Unemployed Community - TEC)
Hapa tunazungumzia zinazoeleweka yaan ujenge nyumba na usukume mkoko na pia usaidie watz wenzakoWengine wana ajira zisizo rasmi, wanakaribishwa humu?
Mkuu unamaanisha viwanja bado vipo vingi vya bureNjombe unachagua pa kujenga au kulima hakuna wa kukuuliza hapa kwa nan au umefikaje hapa ..kwhy hakuna wa kumkodisha
Sawa, hii tuite Jumuiya sio chama ili tujitofautishe na wanasiasaMimi nakuomba ufungue group WhatsApp na ueke link hapo chini kwenye huu ujumbe ili watu waweze jiunga kisha tuone muamko wa wananchi kama tutafikisha na ata wanachama 100,000 by next weekend means tuko on the right track na tuweze kufanya kitu.
Change is when you and me decide and our future is in our hands!!
Rais wetu andaa na Nembo ya ch
Amesema yupo Njombe?Njombe unachagua pa kujenga au kulima hakuna wa kukuuliza hapa kwa nan au umefikaje hapa ..kwhy hakuna wa kumkodisha
Hapana sijawahi.Mh we hujawahi kuona uzi wangu ukielezea nyanya zilivyosombwa na maji?
Nilichojifunza.Hapana sijawahi.
Mwajey huyo dogo ndo mwanetu?Ngoja niweke kambi hapa
Ni kweli mkuu, lkn kama una viwanja/shamba zaidi ya viwili kwanini usiuze kimoja Ili upate pesa za kufanya kilimo au biashara yoyote kuliko kusubiri ajira ambayo haina uhakikaNilichojifunza.
Kilimo kinahitaji pesa. Nyingi. Pesa nyingi.
Mkulima huwezi faidika kama ambavyo matarajio na mazungumzo yanavyoonyesha.
Mvua ni instant killer wa shamba