Jumuiya ya wasio na ajira Tanzania (Tanzania Unemployed Community (TEC). Hiki kitu tukiunde!

Naunga mkono asilimia 100. Watu ambao hawana ajira ni wengi sana wanafika 2-5million nchini. Tukiwa na community ambayo italinda maslahi yao na kuwa na sauti moja litakuwa ni jambo la busara. Pia tukieka michango ya alau 5000tsh kwa mwezi kwa watu milioni 1, tunaweza kukusanya 5billion kwa mwezi. Na 60 billion a year. Ndugu zangu 5 billion kwa taasisi kuwekeza sio mbaya na tutakuw na community endelevu kwani tutaweza kuwekeza kwenye shughuli za maendeleo na kupeana ajira wenyewe kwa wenyewe. Mfano taasisi kama taasisi itakuwa na waajiriwa, sehemu tutazowekeza pia tutatoa ajira. Tutapata hela na kuwa na gawio pamoja na kukuza taasisi kwa kusupport wanachama wengi sana. Ni wazo zuri linahitaji tayari wa watu tu. Mimi niko tayari kama tunaweza mobilise watu
 
5000tsh tunawekeza now na kuendelea kufinance kwa mwaka tu taasisi itasimama, nashauri tuwe serious na kutochukulia shauri hili kwa mzaha. 100% support kutoka kwangu
 
Tumia hiko kiwanja chako kujiajiri. Kodisha watu wafanyie shughuli mbali mbali. Au ni mpaka uajiriwe ndo Moyo wako uridhike?
Njombe unachagua pa kujenga au kulima hakuna wa kukuuliza hapa kwa nan au umefikaje hapa ..kwhy hakuna wa kumkodisha
 
Hii ipo Tanzania tu wenye ID fake aka wasiojulikana kuwa na chama ...Sisi watz ni ulozi sana tukila tukishiba ova...kuja kuwa na Serious Movement Kama za Black Americans Ni miaka 100k ijayo..
 
TUC member [emoji110]
 
Mimi nakuomba ufungue group WhatsApp na ueke link hapo chini kwenye huu ujumbe ili watu waweze jiunga kisha tuone muamko wa wananchi kama tutafikisha na ata wanachama 100,000 by next weekend means tuko on the right track na tuweze kufanya kitu.
Change is when you and me decide and our future is in our hands!!
 
S
Sawa, hii tuite Jumuiya sio chama ili tujitofautishe na wanasiasa
Rais wetu andaa na Nembo ya ch
 
Hapana sijawahi.
Nilichojifunza.

Kilimo kinahitaji pesa. Nyingi. Pesa nyingi.

Mkulima huwezi faidika kama ambavyo matarajio na mazungumzo yanavyoonyesha.

Mvua ni instant killer wa shamba
 
Nilichojifunza.

Kilimo kinahitaji pesa. Nyingi. Pesa nyingi.

Mkulima huwezi faidika kama ambavyo matarajio na mazungumzo yanavyoonyesha.

Mvua ni instant killer wa shamba
Ni kweli mkuu, lkn kama una viwanja/shamba zaidi ya viwili kwanini usiuze kimoja Ili upate pesa za kufanya kilimo au biashara yoyote kuliko kusubiri ajira ambayo haina uhakika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…