Jumuiya ya wasio na ajira Tanzania (Tanzania Unemployed Community (TEC). Hiki kitu tukiunde!

Kama mmeamua kuunda jumuiya kabisa.....basi kupata kazi itakuwa ni kazi....sahauni.
 
Kukifanyika Uchaguzi nitagombea Urais.
 
Ni kweli mkuu, lkn kama una viwanja/shamba zaidi ya viwili kwanini usiuze kimoja Ili upate pesa za kufanya kilimo au biashara yoyote kuliko kusubiri ajira ambayo haina uhakika
Ni mashamba ya kurithi sitakiwi kuuza. Niliwasilisha hilo wazo aisee niligewa maneno hayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…