Mzalendo2015
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 7,225
- 9,830
Tunaweza kusema kumekucha Uchaguzi Mkuu 2025.
Iko hivi. Kufuatia kukamatwa kwa Mwenyekiti(T) CHADEMA Mhe. TUNDU ANTIPAS LISSU na kufunguliwa kesi ya UHAINI na KUZUILIWA KWA CHADEMA KUSHIRIKI UCHAGUZI MKUU TANZANIA 2025 kuna tetesi jumuia za Kimataifa na baadhi ya nchi zinapanga kuikomesha Serikali ya CCM kwa kuiwekea vikwazo vya kiuchumi ikiwemo kuinyima misaada ya Kifedha, Kijamii na kibinadamu.
Tukumbuke karibia zaidi ya 40% ya Bajeti ya Tanzania inatokana na misaada toka nje. Jumuia hizo ni pamoja na World Bank(WB), International Monetary Fund(IMF),AfDB(African Development Bank), EU( Europian Union), USAID( United States of America Aid) na Marekani yenyewe na nyingine nyingi.
Ikumbukwe kuwa Bajeti ya Uchaguzi wa Tanzania zaidi ya nusu inatokana na misaada toka nje. Sasa CCM wakiendelea na huu ujinga wao watakuta Uchaguzi unakwama kwa kukosa fedha za kuendesha Uchaguzi Mkuu 2025 kwa kukosa Fedha za kuendeshea Uchaguzi!!!