Mzalendo2015
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 7,225
- 9,830
No reform no election kwa tafsiri ya wasomi wa CCM ni uhainNi aibu yaani CCM haina wasomi wa kumjibu lissu??
Kule kumejaa wahuni na wababaishaji na waganga njaa watupu. Fikiria mtu kama CPA Makalla aliye ropoka hv karibuni kuwa CHADEMA wana mpango wa kununua virusi vya M-pox, Ebola na Covid-19 ili kuzuia Uchaguzi Mkuu 2025 usifanyike!!! Nonsense.Ni aibu yaani CCM haina wasomi wa kumjibu lissu??
Wapo wakina Babu taleNi aibu yaani CCM haina wasomi wa kumjibu lissu??
Yaan wafuasi wa Tundu wanavyotapatapa hadi huruma hiyo jumuiya iliacha kutuwekea vikwazo kipindi Lisu kumiminiwa risasi waweke sasa mnahangaika sikieni karibuni CCM halafu mnajua nini Samia mitano tenaTunaweza kusema kumekucha Uchaguzi Mkuu 2025.
Iko hivi. Kufuatia kukamatwa kwa Mwenyekiti(T) CHADEMA Mhe. TUNDU ANTIPAS LISSU na kufunguliwa kesi ya UHAINI na KUZUILIWA KWA CHADEMA KUSHIRIKI UCHAGUZI MKUU TANZANIA 2025 kuna tetesi jumuia za Kimataifa na baadhi ya nchi zinapanga kuikomesha Serikali ya CCM kwa kuiwekea vikwazo vya kiuchumi ikiwemo kuinyima misaada ya Kifedha, Kijamii na kibinadamu.
Tukumbuke karibia zaidi ya 40% ya Bajeti ya Tanzania inatokana na misaada toka nje. Jumuia hizo ni pamoja na World Bank(WB), International Monetary Fund(IMF),AfDB(African Development Bank), EU( Europian Union), USAID( United States of America Aid) na Marekani yenyewe na nyingine nyingi.
Ikumbukwe kuwa Bajeti ya Uchaguzi wa Tanzania zaidi ya nusu inatokana na misaada toka nje. Sasa CCM wakiendelea na huu ujinga wao watakuta Uchaguzi unakwama kwa kukosa fedha za kuendesha Uchaguzi Mkuu 2025 kwa kukosa Fedha za kuendeshea Uchaguzi!!!
Hilo wala usilitegemee boss. Dunia kwa sasa iko kwenye vita vya mashariki ya kati, Ukraine na vita vya kiuchumi baina ya Marekani na China. Hakuna nchi inaweza kuipa tanzania tena msaada wa zaidi ya 100b, sana sana ni mikopo, nayo ina masharti magumu hata Lisu asipowekwa ndani. Ni kupambana wenyewe, lakini kutegemea mataifa ya nje ni kujidanganya.Tunaweza kusema kumekucha Uchaguzi Mkuu 2025.
Iko hivi. Kufuatia kukamatwa kwa Mwenyekiti(T) CHADEMA Mhe. TUNDU ANTIPAS LISSU na kufunguliwa kesi ya UHAINI na KUZUILIWA KWA CHADEMA KUSHIRIKI UCHAGUZI MKUU TANZANIA 2025 kuna tetesi jumuia za Kimataifa na baadhi ya nchi zinapanga kuikomesha Serikali ya CCM kwa kuiwekea vikwazo vya kiuchumi ikiwemo kuinyima misaada ya Kifedha, Kijamii na kibinadamu.
Tukumbuke karibia zaidi ya 40% ya Bajeti ya Tanzania inatokana na misaada toka nje. Jumuia hizo ni pamoja na World Bank(WB), International Monetary Fund(IMF),AfDB(African Development Bank), EU( Europian Union), USAID( United States of America Aid) na Marekani yenyewe na nyingine nyingi.
Ikumbukwe kuwa Bajeti ya Uchaguzi wa Tanzania zaidi ya nusu inatokana na misaada toka nje. Sasa CCM wakiendelea na huu ujinga wao watakuta Uchaguzi unakwama kwa kukosa fedha za kuendesha Uchaguzi Mkuu 2025 kwa kukosa Fedha za kuendeshea Uchaguzi!!!
Gharama za makato ya simuTunaweza kusema kumekucha Uchaguzi Mkuu 2025.

Correct! Ujue CCM imejaa mambumbu watupu wakisaidiwa na Policcm.No reform no election kwa tafsiri ya wasomi wa CCM ni uhain
Wanawake mnamatatizo sanaYaa
Yaan wafuasi wa Tundu wanavyotapatapa hadi huruma hiyo jumuiya iliacha kutuwekea vikwazo kipindi Lisu kumiminiwa risasi waweke sasa mnahangaika sikieni karibuni CCM halafu mnajua nini Samia mitano tena
Acha kujizma data....ukweli unaujua A to Z unajifaragua tu hapa. Kila zama na kitabu chake. Subiri maamuzi ya Rais wa Dunia Mzee DT( D.Trump) utajua kama hujui!!!Yaa
Yaan wafuasi wa Tundu wanavyotapatapa hadi huruma hiyo jumuiya iliacha kutuwekea vikwazo kipindi Lisu kumiminiwa risasi waweke sasa mnahangaika sikieni karibuni CCM halafu mnajua nini Samia mitano tena
Muulize Cyril Ramaphosa wa S. Africa ameionja joto ya Mzee Trump wa USA kwa swala la Ardhi tu. Lakini pia kuna SUDAN na South Sudan, kuna swala Rwanda ya Kaghame na Uholanzi n.k. So don't think CCM is so special here on earth. Joto ya jiwe inakuja tu. No way!!Hilo wala usilitegemee boss. Dunia kwa sasa iko kwenye vita vya mashariki ya kati, Ukraine na vita vya kiuchumi baina ya Marekani na China. Hakuna nchi inaweza kuipa tanzania tena msaada wa zaidi ya 100b, sana sana ni mikopo, nayo ina masharti magumu hata Lisu asipowekwa ndani. Ni kupambana wenyewe, lakini kutegemea mataifa ya nje ni kujidanganya.
Hili iwe tetesi au isiwe kweli, hili linakuja. Unadhani No reforms, No elections imetokea msituni tu. CCM watakuja kujua imetoka wapi wakati wameshachelewa. Kwa mtu yeyote anayejua mambo haya, anajua hapa nchi inatafutwa kuadhibiwa na international communitiesTunaweza kusema kumekucha Uchaguzi Mkuu 2025.
Iko hivi. Kufuatia kukamatwa kwa Mwenyekiti(T) CHADEMA Mhe. TUNDU ANTIPAS LISSU na kufunguliwa kesi ya UHAINI na KUZUILIWA KWA CHADEMA KUSHIRIKI UCHAGUZI MKUU TANZANIA 2025 kuna tetesi jumuia za Kimataifa na baadhi ya nchi zinapanga kuikomesha Serikali ya CCM kwa kuiwekea vikwazo vya kiuchumi ikiwemo kuinyima misaada ya Kifedha, Kijamii na kibinadamu.
Tukumbuke karibia zaidi ya 40% ya Bajeti ya Tanzania inatokana na misaada toka nje. Jumuia hizo ni pamoja na World Bank(WB), International Monetary Fund(IMF),AfDB(African Development Bank), EU( Europian Union), USAID( United States of America Aid) na Marekani yenyewe na nyingine nyingi.
Ikumbukwe kuwa Bajeti ya Uchaguzi wa Tanzania zaidi ya nusu inatokana na misaada toka nje. Sasa CCM wakiendelea na huu ujinga wao watakuta Uchaguzi unakwama kwa kukosa fedha za kuendesha Uchaguzi Mkuu 2025 kwa kukosa Fedha za kuendeshea Uchaguzi!!!
😀😀😀We zumbukuku kagame anafanywa nn kule miaka nenda miaka rudi yupo kwa mzee mseveni anawanyoosha tu wakina besigye mpaka anazeeka sasa huyo Trump kafanya nn saa hz ni kukaza nutAcha kujizma data....ukweli unaujua A to Z unajifaragua tu hapa. Kila zama na kitabu chake. Subiri maamuzi ya Rais wa Dunia Mzee DT( D.Trump) utajua kama hujui!!!