Mkuu acha ndoto, huko SA kuna maslahi ya weupe. South and Sudan kuna nini, kwa Kagame kuna nini na Uholanzi? Maana waholanzi ni taifa lililoendelea, lakini si tajiri la kutoa msaada wa maana kwa nchi masikini.Muulize Cyril Ramaphosa wa S. Africa ameionja joto ya Mzee Trump wa USA kwa swala la Ardhi tu. Lakini pia kuna SUDAN na South Sudan, kuna swala Rwanda ya Kaghame na Uholanzi n.k. So don't think CCM is so special here on earth. Joto ya jiwe inakuja tu. No way!!
usibweteke kwa tukio ambalo hadi makonda alizuiwa asiende USAYaa
Yaan wafuasi wa Tundu wanavyotapatapa hadi huruma hiyo jumuiya iliacha kutuwekea vikwazo kipindi Lisu kumiminiwa risasi waweke sasa mnahangaika sikieni karibuni CCM halafu mnajua nini Samia mitano tena
Labda atafadhiliwa na DPW na washirika wakeTukumbuke karibia zaidi ya 40% ya Bajeti ya Tanzania inatokana na misaada toka nje. Jumuia hizo ni pamoja na World Bank(WB), International Monetary Fund(IMF),AfDB(African Development Bank), EU( Europian Union), USAID( United States of America Aid) na Marekani yenyewe na nyingine nyingi.
Alafu utayasikia machwa yakiimba mapambio ,nchi ipo na watu wajinga sana hasa machawaTunaweza kusema kumekucha Uchaguzi Mkuu 2025.
Iko hivi. Kufuatia kukamatwa kwa Mwenyekiti(T) CHADEMA Mhe. TUNDU ANTIPAS LISSU na kufunguliwa kesi ya UHAINI na KUZUILIWA KWA CHADEMA KUSHIRIKI UCHAGUZI MKUU TANZANIA 2025 kuna tetesi jumuia za Kimataifa na baadhi ya nchi zinapanga kuikomesha Serikali ya CCM kwa kuiwekea vikwazo vya kiuchumi ikiwemo kuinyima misaada ya Kifedha, Kijamii na kibinadamu.
Tukumbuke karibia zaidi ya 40% ya Bajeti ya Tanzania inatokana na misaada toka nje. Jumuia hizo ni pamoja na World Bank(WB), International Monetary Fund(IMF),AfDB(African Development Bank), EU( Europian Union), USAID( United States of America Aid) na Marekani yenyewe na nyingine nyingi.
Ikumbukwe kuwa Bajeti ya Uchaguzi wa Tanzania zaidi ya nusu inatokana na misaada toka nje. Sasa CCM wakiendelea na huu ujinga wao watakuta Uchaguzi unakwama kwa kukosa fedha za kuendesha Uchaguzi Mkuu 2025 kwa kukosa Fedha za kuendeshea Uchaguzi!!!
Nimekutolea mfano sasa anachofanya kagame au museveni na hapa kwetu wapi wanapiga sana spana jibu usinipe kaa na wafuasi wenzio mjadilien then nakuja kuwasahishiausibweteke kwa tukio ambalo hadi makonda alizuiwa asiende USA
ishu hapo ni kuzuia demokrasia na matukio ya watu wasiojulikana ndio sababu ya vikwazo
Wanatafuta kona ya kumminyia huyo mama asipokaa kwa akili kuna watu kwenye chama chake wanamchomeka pabayaIkumbukwe kuwa Bajeti ya Uchaguzi wa Tanzania zaidi ya nusu inatokana na misaada toka nje. Sasa CCM wakiendelea na huu ujinga wao watakuta Uchaguzi unakwama kwa kukosa fedha za kuendesha Uchaguzi Mkuu 2025 kwa kukosa Fedha za kuendeshea Uchaguzi!!!
Jidanganye...Tunaweza kusema kumekucha Uchaguzi Mkuu 2025.
Iko hivi. Kufuatia kukamatwa kwa Mwenyekiti(T) CHADEMA Mhe. TUNDU ANTIPAS LISSU na kufunguliwa kesi ya UHAINI na KUZUILIWA KWA CHADEMA KUSHIRIKI UCHAGUZI MKUU TANZANIA 2025 kuna tetesi jumuia za Kimataifa na baadhi ya nchi zinapanga kuikomesha Serikali ya CCM kwa kuiwekea vikwazo vya kiuchumi ikiwemo kuinyima misaada ya Kifedha, Kijamii na kibinadamu.
Tukumbuke karibia zaidi ya 40% ya Bajeti ya Tanzania inatokana na misaada toka nje. Jumuia hizo ni pamoja na World Bank(WB), International Monetary Fund(IMF),AfDB(African Development Bank), EU( Europian Union), USAID( United States of America Aid) na Marekani yenyewe na nyingine nyingi.
Ikumbukwe kuwa Bajeti ya Uchaguzi wa Tanzania zaidi ya nusu inatokana na misaada toka nje. Sasa CCM wakiendelea na huu ujinga wao watakuta Uchaguzi unakwama kwa kukosa fedha za kuendesha Uchaguzi Mkuu 2025 kwa kukosa Fedha za kuendeshea Uchaguzi!!!
Mchina na Mwarabu wapo watatupa mapesa mengi ya kuwalipa wasanii kwenye kampeni.Jidanganye...
Kitu imefuata SOP ileTunaweza kusema kumekucha Uchaguzi Mkuu 2025.
Iko hivi. Kufuatia kukamatwa kwa Mwenyekiti(T) CHADEMA Mhe. TUNDU ANTIPAS LISSU na kufunguliwa kesi ya UHAINI na KUZUILIWA KWA CHADEMA KUSHIRIKI UCHAGUZI MKUU TANZANIA 2025 kuna tetesi jumuia za Kimataifa na baadhi ya nchi zinapanga kuikomesha Serikali ya CCM kwa kuiwekea vikwazo vya kiuchumi ikiwemo kuinyima misaada ya Kifedha, Kijamii na kibinadamu.
Tukumbuke karibia zaidi ya 40% ya Bajeti ya Tanzania inatokana na misaada toka nje. Jumuia hizo ni pamoja na World Bank(WB), International Monetary Fund(IMF),AfDB(African Development Bank), EU( Europian Union), USAID( United States of America Aid) na Marekani yenyewe na nyingine nyingi.
Ikumbukwe kuwa Bajeti ya Uchaguzi wa Tanzania zaidi ya nusu inatokana na misaada toka nje. Sasa CCM wakiendelea na huu ujinga wao watakuta Uchaguzi unakwama kwa kukosa fedha za kuendesha Uchaguzi Mkuu 2025 kwa kukosa Fedha za kuendeshea Uchaguzi!!!
Kwahiyo wangeenda kuvinunua kwenye matenga kama nyanya , yule buana mlugulu alinishangaza sana.Kule kumejaa wahuni na wababaishaji na waganga njaa watupu. Fikiria mtu kama CPA Makalla aliye ropoka hv karibuni kuwa CHADEMA wana mpango wa kununua virusi vya M-pox, Ebola na Covid-19 ili kuzuia Uchaguzi Mkuu 2025 usifanyike!!! Nonsense.
Wanalewa madarakaKule kumejaa wahuni na wababaishaji na waganga njaa watupu. Fikiria mtu kama CPA Makalla aliye ropoka hv karibuni kuwa CHADEMA wana mpango wa kununua virusi vya M-pox, Ebola na Covid-19 ili kuzuia Uchaguzi Mkuu 2025 usifanyike!!! Nonsense.
Kibajaj na. Yule mwizi wa dhahabu anaitwa Msukuma.Wapo wakina Babu tale
Wasomi kujibu ukweli ni kuja na mpango wa utekelezaji tu.Ni aibu yaani CCM haina wasomi wa kumjibu lissu??
nadhani mwenye akili ya kumjibu lissu hakuna huko, mbinu ya kichovu ni kumkamata na kumuweka ndani ndio wameona inafaa. Ccm walitakiwa wale sahani moja na lissu kwenye hoja zake parallel and perpendicualar na sio kujikaanga yenyewe kwa mbinu hiyo bila kujua athari zakeNi aibu yaani CCM haina wasomi wa kumjibu lissu??
Unajidanganya. Hao wazungu wakipewa mgodi mmoja wanakaa kimya. Ingekuwa rahic hivyo kagame, museven nk wangekuwa wameisha, hakunaga mabadiliko yanayotokeaga kwa msukumo kutoka kwa mzungu chiefTunaweza kusema kumekucha Uchaguzi Mkuu 2025.